Zarithebosslady awaomba msaada Jackckline Mengi na Wema sepetu

Zarithebosslady awaomba msaada Jackckline Mengi na Wema sepetu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kupitia ukurasa wake wa instagram , mjasiriamali maarufu, Zari the bosslady amewaomba msaada mastaa wakubwa wa kike bongo kumchangia kijana Rajabu ambaye Ana ugonjwa wa ajabu, hili akatibiwe nchini India.

Mwana mama huyo aliyezaa na diamond , aliwatag mastaa kama , Wolper, jackline mengi, wema sepetu, aunty ezekiel , hali iliyozua sintofahamu kwa kuwa mastaa wengi aliowataja inasemekena Hana mahusiano nao mazuri mfano wema sepetu na jackline mengi
 
Mgonjwa mtanzania,ulitaka awaambie wa ganda ndo wamchangie? Wakati waTz mko wapi?!
Huyu mwanamke kwao Uganda hakuna kiki ???kila siku Bongo aarrrggg mwambieni basha wake Mzamiru ameokota aje kufumuliwa Marinda....
 
mbona kwa merehemu sajuki alitoaga millioni 12 tena kwa style ya mzee mengi ya kuita press enzi hizo anapush white bimmer x6
Hapo watu wanakula bingo tu kama kwenye BIKKKO tu. Usione watu wanapush Ma-Lamborgini ukadhani mchezo.
 
Back
Top Bottom