Oscamaduhu
Member
- Jul 29, 2022
- 24
- 20
Toa jibuMkuu, umekaa na wazazi wako miaka zaidi ya 15 na haufahamu vitu ambavyo ukiwapatia kama zawadi vitaongeza thamani katika maisha yao na kua kumbukumbu kwao kupitia kwako?
Jitafakari sana, maana hata hiyo ndoa unaweza ukaja utuulize umpe nini mkeo
Baba mnunulie kitambaa kizuri cha suti kama ni mtu wa pigo hizo, kama sio basi mnunulie suruali nzuri na mashati ya kuendana na umri wake, mama mnunulie vitenge, lakini sasa usibague fanya ivo kwa wazazi wa pande zote......unaweza kuona ni vitu vidogo lakini kwa mzazi vina thamani kubwa