Zawadi kutoka Dubai: Kutana na Kitenges na Zembwela

Zawadi kutoka Dubai: Kutana na Kitenges na Zembwela

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Picha muhimu sana ya karne hii.

IMG-20230623-WA0188.jpg
 
Daaa ndio maana Kitenge anatumia nguvu nyingi sana kutetee ,Nchi hii tumeingia mikataba mingi sana hivi na mikataba mingine kiasi kikubwa hivi cha watu husafirishwa na kuhusishwa ?
 
UBINAFSISHAJI SIO JAMBO BAYA, MKATABA UREKEBISHWE KWANZA, NDILO LA MSINGI NA NDICHO WATANZANIA WANACHOHITAJI.
Nyingine zote mbwembwe tu.
 
Kitenge hata kule Ngorongoro alikuwa mstari wa Mbele sana kutetea Wamasai kuondolewa, Ndio uchaguzi wake.

Huyo Zimbweka sijajui yeye anawafuata fuata kama nani? Au ndio Bodyguard wao?
 
Genge La Wahuni Wachache Hao
 
Mwenye ile app atusaidie kilichomo kwenye hayo mabegi tafadhari
 
Hata wakati waarabu na wazungu wanafanya biashara ya kuuza na kununua waafrika walikuwepo wasaidizi wao waafrika wenzetu kama hawa akina Maulid Kitenge, Zembwela na Gerald Hando wanawasaidia.
 
wamekamata muarabu dereva tax wakapiga nae picha, miaka elfu hawawezi kukutana na wamiliki wa Dp world
 
Back
Top Bottom