Daaa ndio maana Kitenge anatumia nguvu nyingi sana kutetee ,Nchi hii tumeingia mikataba mingi sana hivi na mikataba mingine kiasi kikubwa hivi cha watu husafirishwa na kuhusishwa ?
Hata wakati waarabu na wazungu wanafanya biashara ya kuuza na kununua waafrika walikuwepo wasaidizi wao waafrika wenzetu kama hawa akina Maulid Kitenge, Zembwela na Gerald Hando wanawasaidia.