Kaka yangu asante sana....sijui nisemeje......ushindi lazima ubali home
Maisha tu......habari za singapore......
nimetumiwa pm na wadau wafuatao wamenipa shahada zao za kupigia kura wamesema zinaenda kwa Rich woman
Excellent, dav22, Marry Hunbig, MziziMkavu, Kima Mchanga kiwatengu ,Bujibuji, Da Pretty, The secretary, platozoom, Dena Amsi, C6
Hivi una mpesa ww?
Vizuri umepigia kura Mrembo by Nature
najipigia mwenyewe
avatar ndio nin!!??
tunatumia mobile banking NMB
Ihesabu na kura yangu
Sitaki ushiriki hili zoezi..
zawadi ni nini!
nakupendaga sana unajua