Rich woman akikutoa chako, nigee basi na mie kidogo....
waambie hao naona hawajui kama hata walio huko namtumbo watapata mgao wao kiulainii.......
umepiga kura kwanza ili nikugee?
Ilikuwa nipige hakianani nkakosea nikampigia slave kura ikaharibika!!!!
avatar yangu huioni au ilikuwa ni mbinu za makusudi kunibania?Mrembo by Nature, Heaven on earth, charming lady, Passion Lady, Lady doctor, Arabela, nani...nanii..nani mwingine..eheee...!!!, Husninyo, nikumbusheni mwingine mmoja ambaye hajaweka avator. mia
huyu jamaa alitaka kukubania. kanambia kura nlokupigia imeharibika. miaavatar yangu huioni au ilikuwa ni mbinu za makusudi kunibania?