Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Mmmh! Sie avatarless mbona imekula kwetu!!!

^^
Queen Kan Usijali wangu,we sura yako Malkia wa ukweli,,nenda uandae zawadi utafute wale vijana muipakie kwenye ndege,,halafu uandae vinywaji..sawa ma wife!
^^
 
Last edited by a moderator:
taja mshindi sasahivi kabla akina Rich woman na mwenzie mwana.........lojia!!! Hawajaanza kukurubuni

^^
Nimefundwa na Tume ya The heague kuzingatia taratibu za uchaguzi,,muda bado rejea tangazo la muda tafadhali
^^
 
Last edited by a moderator:
taja mshindi sasahivi kabla akina Rich woman na mwenzie mwana.........lojia!!! Hawajaanza kukurubuni

^^
Nimefundwa na Tume ya The heague kuzingatia taratibu za uchaguzi Luis Moreno Okampo ninaye hapa Sihongeki,,muda bado rejea tangazo la muda tafadhali
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Nimefundwa na Tume ya The heague kuzingatia taratibu za uchaguzi Luis Moreno Okampo ninaye hapa Sihongeki,,muda bado rejea tangazo la muda tafadhali
^^

wafundaji wenyewe wanaipokea sembuse wewe mfundwaji

ila jamani hiyo deadline yako mbona naona mbali?
 
Duh Napata taabu kuchagua maana wengi warembo . Ngoja nifumbe macho nichague 1. Nampigia @FP. Kama inaruhusiwa kumpigia zaidi ya 1 Himidini nijuze tafadhari. Mimi nitabaki kua mtazamaji wa shindano hili manake ungetutaarifu mapema pengine tungeweka nasi picha za rangi

^^
Ablessed tayari umepiga kura,,hairuhusiwi tena
^^
 
Last edited by a moderator:
taja mshindi sasahivi kabla akina Rich woman na mwenzie mwana.........lojia!!! Hawajaanza kukurubuni

ahhhh kipenzi hata wewe unaazna kunishutumu haya bwana najua shindano likiisha mambo yatakuwa mswano kama zamani si unajua wakati wa uchaguzi mambo huwa kama hivi ht mwanao anaweza akakusaliti
 
Nimeahidiwa vakasheni pls niseheme uchaguzi ukiisha mi na ww dam dam siunajua tena

bahati yako umewahiwa sijui nilikuwa wapi na ww ungekuwa meneja number 2..
mi naweza kukupa zaidi ya vakesheni na unalijua hilo....:wink2:
 
Eti Madame B anasema niache kazi yangu ya umeneja kwako nimpigie kampeni yeye atanipa zawadi nzuri kuliko yako.. ....nikamwambia mi na wewe tumetoka mbali sitaweza kabisa. ......

usidanganyike kirahisi Tonykp we endeleza mtanange wa campaign kwa mrembo wetu
 
Last edited by a moderator:
ahhhh kipenzi hata wewe unaazna kunishutumu haya bwana najua shindano likiisha mambo yatakuwa mswano kama zamani si unajua wakati wa uchaguzi mambo huwa kama hivi ht mwanao anaweza akakusaliti

shost ni hela inayonifanya nikusaliti ila ukipanda dau napiga kampeni sasahivi
 
Back
Top Bottom