Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

@mrembo by nature tayari, mimi na wewe tena! Leo tunaenda hadi ile mida yetu ama sivyo?

Sikuoni ukipiga kampeni, unataka hela zisije nyumbani?nikishinda hela zetu tunazimalizia pale simba kapakatwa pub so piga kampeni
 
Kura tatu zinanipa ushindi?? kuna yule mamluki yuko busy kweli na kampeni......kesho mwisho saa nane kupiga kura.....ukiniitia vichwa 10 tu vinanipa ushindi wa kishindo

Dola mia yako ntakupatiaje ni pm......maana najua hakuna mpinzani tena........HONGERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Duh Napata taabu kuchagua maana wengi warembo . Ngoja nifumbe macho nichague 1. Nampigia @FP. Kama inaruhusiwa kumpigia zaidi ya 1 Himidini nijuze tafadhari. Mimi nitabaki kua mtazamaji wa shindano hili manake ungetutaarifu mapema pengine tungeweka nasi picha za rangi

Dada ungejua avatar yako na ya Kaunga ninavyozipenda . . . !! loh
I mean it.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom