Mbinu sahihi katika mazingira na wakati sahihi.
Ila hapo kwenye bikra weka 20% hizo zingine fanya kama umebeti huenda ukaja nishukuru siku moja.
Mazingira ya mchuchu yasikufanye ukawa na high expectations juu ya uwepo wa hiyo bikra. Hawa viumbe kama kuna jambo hupaswi kuamini kutoka kwao ni uwepo wa hiyo kitu.
Nibora uamini haipo halafu uikute kuliko kuamini ipo halafu usiikute.