Zawadi nzuri kwa mswazi mwenzangu

Zawadi nzuri kwa mswazi mwenzangu

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Kuna mwanamke wa uswazi hapa kwetu, uswazini nimetokea kumpenda.

Nikamsimamisha maeneo fulani kuongea nae, nikamtongoza, akanijibu nyodo. Sasa kwa sabu mi nampenda nataka nitumie njia ya zawadi kumlainisha.

Kwa kipato changu cha kiswazi ni zawadi gani ya bei rahisi ?

Nimewaza kuhusu vizawadi flani vya mademu wa kinyamwezi kama chocolate nikaona hapa ntakuwa nakosea. Maana ni aina ya wale wanawake wavaa madela kwenye shughuli kucheza chura.

Kwa wale mnaoshangaa, sisi waswazi wacheza chura ndo wanawake zetu na ndo tunaowaoaga. Watundu hatari.
 
Umeshasema amekujibu nyodo Sasa zawadi ya Nini? Akachukua zawadi Kisha akutose uanze kulalamika..
 
Umeshasema amekujibu nyodo Sasa zawadi ya Nini? Akachukua zawadi Kisha akutose uanze kulalamika..
Mwanamke analainishwa na zawadi boss...ndo tunavyoenda nao
 
Unanafasi kubwa ya kuteka moyo wake bila pesa zako. Labda uwe specific unataka penzi la dhati au unataka kununua penzi
 
Mnunulie dela na sponji ya kuvaa sijui wanaita kigodoro, atafurahia sana
 
Mkuuu...mnunulie kijora..Akakutingishie chura ...Akicheza singeli
 
Huyo labda demu wa masaki, ila hawa waswazi wenzetu ni ngumu
Si kweli mkuu. Yoyote tu ilimradi awe mwanamke, Wote their mijd can be manipulated so easily and u ca win their hearts. Au huna malengo yoyote juu yake unataka kupoteza poteza muda
 
Si kweli mkuu. Yoyote tu ilimradi awe mwanamke, Wote their mijd can be manipulated so easily and u ca win their hearts. Au huna malengo yoyote juu yake unataka kupoteza poteza muda
Atakavyonitreat ndo ntajua kama nafika nae mbali au namwacha njiani?

Ila nachukua ushauri wako, natafuta mbinu ya kumuingia kwa mikono mitupu.
 
Kuna hereni zile za buku zinakuja kama kumi hivi zinatosha Sana
 
Back
Top Bottom