Zawadi ya Bajaj ni halali kwa Ibrahim Class?

There was a contract between the boxer and the promoter before the fight and they agreed on the winnings. If you can do better, I suggest you should start promoting future fights and stop damaging other people character.
 
Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico, Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji?

Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi?
Kama kweli atapata hiyo bajaji ni zawadi moja nzuri sana amini nakuambia watu wanakulaga laki nane nane tu imetoka
 
Hapa una mtetea Mo au ibra ?
Siko hapa kumtetea mtu nipo hapa kuelezea uhalisia, tz bado ubondia na michezo mingine hailipi mfano ni mpira wa kikaku, hivi unajua wanaocheza kikapu bongo wanalipwaje? Sasa Ibrahim kalipwa kitu chenye thamani ya 7M+ unakuja kuchonga huku mbona huandai wewe ukawapa helkopta? Jipe muda fanya uchunguzi uone mabondia bongo wanalipwaje mapambano ya ubingwa halafu uje kwa ibra kwenye hili pambano lisilo na ubingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…