Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akina nani ?Mambo mengine waachie wenyewe...
Kituo cha daladala hiki tegeta hukoBasi haya
KabisaChuki za kitopolo zimejumlishwa humu
Anachoweza kutoa na alichojaliwa ni maneno vingine vyote vilivyobaki anaotaga kwenye ndoto.Andaa mapambano yako uwe unatoa ndege .
Walioandaa na wanaopewa zawadi, wewe huna hata mia unapiga mikelele tu.akina nani ?
Usd 10,000Kavuta bei gani ?
Acha umbea mtoto wa kiume??? Kwanini hujawahi uliza mchezaji bora wa mechi anapewa kingamuz cha Azam tvNgoja tunyamaze tu
Ibra kachukua millions 23
Kama kweli atapata hiyo bajaji ni zawadi moja nzuri sana amini nakuambia watu wanakulaga laki nane nane tu imetokaHivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico, Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji?
Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi?
[emoji23][emoji23]Hivi Mo foundation imekaa sehemu Gani ukivaa jezi ya Makolo?
Imekaa kwenye tundu yako ya kutolea haja kubwa[emoji23][emoji23]View attachment 2373922
Hapa una mtetea Mo au ibra ?Walioandaa na wanaopewa zawadi, wewe huna hata mia unapiga mikelele tu.
Siko hapa kumtetea mtu nipo hapa kuelezea uhalisia, tz bado ubondia na michezo mingine hailipi mfano ni mpira wa kikaku, hivi unajua wanaocheza kikapu bongo wanalipwaje? Sasa Ibrahim kalipwa kitu chenye thamani ya 7M+ unakuja kuchonga huku mbona huandai wewe ukawapa helkopta? Jipe muda fanya uchunguzi uone mabondia bongo wanalipwaje mapambano ya ubingwa halafu uje kwa ibra kwenye hili pambano lisilo na ubingwaHapa una mtetea Mo au ibra ?