Zawadi za VPL msimu 2019/20, waliostahili ndio waliopewa?

Zawadi za VPL msimu 2019/20, waliostahili ndio waliopewa?

Kweli ndugu yangu sie ndio tunadokoa vipwent muhimu tunaondoka navyo unajidai navyo mtaani ss wanavyokaa kimyaa wananichanganya hata mie
wachambuzi mbona kimya hambishani? ubishi wenu shule kwetu
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
Utakuwa NYANI tu ww
 
Semeeni yoote ila Boko ni mashine,hao mnaowataja ni nani anaweza kumuweka Kagere benchi? Fikiria ile mechi ya Yanga yuko peke yake mbele,ila mpini ni shida
 
Shida ya MINYANI haielewi. Amewazid wote hao kwa wastani wa idadi ya MAGOLI kwa idad ya mechi
Yaani mchezaji akifunga mabao 10 kwenye mechi 3 kisha akakaa benchi mechi zote za msimu zliizosalia basi huyo ndiye mchezaji bora kuliko wale wote wenye magoli 30 kwenye ligi? Nonsense!! Hapo ndipo uadilifu, hekima, weledi na integrity ya mtu vinapokutana na njia panda
 
Back
Top Bottom