Semeeni yoote ila Boko ni mashine,hao mnaowataja ni nani anaweza kumuweka Kagere benchi? Fikiria ile mechi ya Yanga yuko peke yake mbele,ila mpini ni shida
Yaani mchezaji akifunga mabao 10 kwenye mechi 3 kisha akakaa benchi mechi zote za msimu zliizosalia basi huyo ndiye mchezaji bora kuliko wale wote wenye magoli 30 kwenye ligi? Nonsense!! Hapo ndipo uadilifu, hekima, weledi na integrity ya mtu vinapokutana na njia panda