Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Pichani ni mjukuu wa Bakhresa ajulikanaye kama Zayed Bakhressa (katikati) akiwa na Mo GSM mtoto wa GSM na Rakin. Watoto wa kishua.


Zayed Bakhressa ana account twitter mastaa wote wa bongo wamemfollow. Yaani akipost chochote unakuta mastaa wanajichekesha kwenye comment.

Dogo anaishi bongo kama yupo nje, anatembelea magari ya kifahari.

Ama kweli pesa sabuni ya roho na pesa inafanya dunia izunguke.
 
Kak Kaka ikikupendeza urudi kujifunza.....katikati ya nne ni ngapi!!!?
Hapo wapo watu wanne huo utambulisho wako unamlenga yupi alie katakati yao??
 
Vijana wabaya sana hawa , waliwahi mpiga Irene Uwoya mtungo
 
Wanakutana IST.

Hapo ukifatilia wote urafiki wao umeanzia shuleni International school of Tanganyika


Hata Mo dewji na watoto wa Bakhressa ni marafiki wamesoma pamoja IST na chuo kikuu wamesoma pamoja Georgetown marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…