Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua

Pichani ni mjukuu wa Bakhresa ajulikanaye kama Zayed Bakhressa (katikati) akiwa na Mo GSM mtoto wa GSM na Rakin. Watoto wa kishua.
View attachment 2662463

Zayed Bakhressa ana account twitter mastaa wote wa bongo wamemfollow. Yaani akipost chochote unakuta mastaa wanajichekesha kwenye comment.

Dogo anaishi bongo kama yupo nje, anatembelea magari ya kifahari.

Ama kweli pesa sabuni ya roho na pesa inafanya dunia izunguke.
Mtoa mada kashalowa
 
Unatishwa na wafuga majini mkuu
 
Back
Top Bottom