Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
watoto wa dewji na watoto wa bahresa ni mfano wa kuigwa, kwasababu wamezaliwa kwenye mambo safi na hawajaharibika. tofauti kidogo na jicho la manji. kama mzazi watoto wako wakiwa wakubwa bile na wana akili za kupambana maishani ni neema kubwa sana.Pichani ni mjukuu wa Bakhresa ajulikanaye kama Zayed Bakhressa (katikati) akiwa na Mo GSM mtoto wa GSM na Rakin. Watoto wa kishua.
View attachment 2662463
Zayed Bakhressa ana account twitter mastaa wote wa bongo wamemfollow. Yaani akipost chochote unakuta mastaa wanajichekesha kwenye comment.
Dogo anaishi bongo kama yupo nje, anatembelea magari ya kifahari.
Ama kweli pesa sabuni ya roho na pesa inafanya dunia izunguke.