ZBC 2 Watangazaji wa mpira hawavutii, hawana ladha

ZBC 2 Watangazaji wa mpira hawavutii, hawana ladha

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Ukweli ndio huo.

ZBC2 katika misimu kadhaa ya Nyuma waliwatumia Watangazaji wazoefu katika kutangaza mechi za kimataifa.

Lakini msimu huu, wanatia Watangazaji ambao hawana mvuto. Sio wabunifu, hawana mbwembwe.

Mpaka Sasa ukiangakia hakuna hasa au chachu iliyo letwa na WATANGAZAJI katika kukoleza sekta ya soka hasa Kwa watazamaji wa runinga.

Tunaomba Watangazaji wazoefu wahusuke sio hao wa Sasa
 
Mdororo Wa Uchumi Kwenye Mifuko Yao Ndiyo Chanzo
 
Kina mpenj.a, upwete waende huko kutia ladha na mvuto katika kusikiliza utangazaji wa mpira. Kwa kweli ubunifu unatakiwa katika kutangaza mpira uwanjani ili kumvutia msikilizaji
 
Gharib Mzinga kimataifa.

Ayubu Hinjo atazoeleka mdogo ndogo. Atakaa vizuri
 
Back
Top Bottom