ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

Mbona Indonesia inayo ongozwa na sheria za kidini ina uchumi mkubwa na maendeleo kuizidi hiyo Uturuki?
Na kama sheria za kidini ndo kikwazo cha maendeleo nchi yako isiyo ongozwa kidini kinacho ifanya isiedelee ni nini ?
 
Ww una wapangia hayo yote kama nani ndani ya zanzibar?
 
Ww ukafiri umekusaidia kugundua nini mpaka sasa?
 
Kama chadema na ukiristo?
 
Kama chadema na ukiristo?
 
Kwahy wanao tazama iyo tv ni wanzanibar tu?
Kwa hiyo kwasababu TBC inatizamwa mpaka kenya na Uganda basi inatakiwa irushe maudhui wanayo yataka wao na sio wanayo yataka wtz?
 
wabalansi vipindi, la sivyo waanzishe ZBC chaneli ya kikristo tu ndio wataeleweka
Kwanini waanzishe ya kikirsito na sio ya dini nyingine huoni kuwa na ww ni muendekeza udini au tz kuna waislam na wakrisito?
 
Wazanzibari hawajui kama wao ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano. Sisi kama Tanzania Bara tukisema tusikope Wazanzibari wanateseka. Nashangaa kwanini wengi wao humu wanajibu kwa dharau sana.

Let us learn to behave positively. We're both Tanzanians, no need of stratifications.
 
Ungeuliza na PBZ hizo ni kampuni za watu sio mali ya Serikali ya JMT mali ya JMT ni TBC pekee hizo hazihusiani na JMT zinahusiana na watu wa Zenji Bar na ni vitega uchumi vya watu binafsi sio Serikali ya Muungano, hutokuta sehemu Serikalini ikitajwatajwa ZBC ni TBC pekee maana ZBC sio mali ya Serikali na mali ya watu binafsi km ilivyo ITV na Channel zingine za TV
 
Elimu nayo inachangia
 
Ndiyo maana hamtaki kujenga Hospitali wala vyuo vikuu kwasababu wasomi wakikristo wamefanya nini?
Mnawategemea wasomi wakikristo wawafanyie maandeleo ilihali nyie mnasoma elimu ya mudi
Kuna maendeleo gani yaliyo letwa na hao wasomi wa kikristo hapa tz hebu tutajie.
Ebu nitajie taasisi au kampuni yeyote kubwa yenye mchango mkubwa kwenye uchumi wa tz iliyo anzishwa na msomi mkirsto, maana %80 ya makampuni makubwa ,viwanda, sekita ya usafiri, michezo na burudani, sekta ya habari vinadhibitiwa na wenye elimu ya mudi.
 
Hapo ulipo kama una bidhaa au vitu vya makafiri tupa kwanza halafu ndiyo utajua uislamu ni dini ya ovyo sana
 
Inaonekana mimba yako ilipatikania kwenye kwenye madanguro ya mwana nyamala hivyo sikulaumu.
Kwa kuwa mama yako mzazi alikupata kwenye madanguro ya mwananyamala unafikiri wote walipatikana huko. Umeshatupa bidhaa au vitu vya makafiri?
 
Hizi ndizo akili za wafuasi wa mtu ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika (mudi) na alioa mtoto wa miaka 9
Endelea kuvinjari kwenye social media za makafiri halafu hujifunzi lugha ya Allah (Kiarabu). Hao mabikra 72 utakaokabidhiwa na Allah utakuja kushangaa na mama yako mzazi na dada yako wa tumbo moja naye yupo kwenye mabikra 72 utakaobidhiwa na Allah uwa...mbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…