ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

Hiri ri bwana walace karia mwishowe naanza kulipenda.
Lina uzuri wake.
taasisi ya tff kwa miaka 20 hivi imefanya profound tranformations kwny mpira wa bongo.

Nchi Majirani zetu tumepita mbali mno.

Ligi ya tanzania imebakiwa na dosari moja ambayo iko nje ya uwezo wa tff.
viwanja viwanja viwanja hasa pitch za mikoan
 
Ikitokea siku ya mechi kuna ziara ya kiongozi, je, watarusha mechi?

Tutarajie TFF wakivuruga ratiba ya mechi masaa machache kabla, ili kuendana na ratiba ya TBC!
 
Back
Top Bottom