Soma uelewe acha kukurupuka
Mleta mada unasema Zele ni mhuni! Uhuni wake ni upi? Mbona inaonekana mhuni ni wewe unayemvisha mtu uhuni bila ya kudhihirisha tendo lolote la uhuni!!
Ukumbuke kuwa mwezi May, Putin alitamka kwenye hotuba yake kuwa anafikiria kumaliza vita dhidi ya Ukraine. Zele kuonesha kuwa yeye siyo kikwazo cha kumaliza vita, ameenda mbali zaidi kutaka wakutane ana kwa ana na Putin. Putin amekataa. Na baada ya hapo, Zele ametamka kuwa kukataliwa wazo lake la kukutana na Putin ni dhihirisho kuwa Putin hataki vita iishe. Ina maana kauli yake kuwa anataka kumaluza vita, ilikuwa ya uwongo.
Kama kichwa chako kipo vizuri kwenye logical thinking, utakuwa umejua kuwa tayari Zele amejisafisha kwenye macho ya Walimwengu kuwa Putin ndiye chanzo cha vita na ndiye obstacle ya kumaliza vita. Zele amethibitisha kuwa kauli za Putin huwa hazistahili kuzingatiwa, kwa sababu ni mtu mwongo. Putin alisema anataka kumaliza vita lakini hataki kuingia kwenye process.
Ufahamu kuwa kadiri siku zinavyoenda, kwenye uwanja wa vita, Urusi imeanza kuelemewa, huku Ukraine ikizidi kupata uwezo wa kushambulia ndani ya Urusi. Ukraine imeanza kukomboa baadhi ya maeneo yaliyokuwa yamechukuliwa na Urusi. Wataalam washauri wa uchumi wa Urusi wametoa ushauri wao kwa Serikali ya Putin juu ya uelekeo mbaya wa uchumi wa Urusi kutokana na vita yake na Ukraine. Na kila siku Ukraine inazidi kuunyong'onyesha uchumi wa Urusi kwa kuvipiga vituo vya kusafishia mafuta ndani ya Urusi. Mpaka sasa uzalishaji wa mafuta wa Urusi umepungua kwa 40% kutokana na mashambulio ya Ukraine.
Massive Casualties: Russia's daily casualty rates frequently exceed 1,000 troops, forcing Moscow to heavily recruit foreign mercenaries and prisoners.
Minimal Territorial Gain: At the cost of hundreds of thousands of lives, Russia has only managed to incrementally expand its occupation zone in the east.
Strained Logistics: Ukrainian long-range drone strikes on Russian infrastructure, naval bases, and deep-rear supply lines have significantly disrupted Russia's ability to supply the front lines.
Stagnant Economy: The $3 trillion Russian economy has slowed dramatically, with growth projections falling below 1% as the financial burden of the war triggers mass closures of small and medium-sized businesses.
NB. Urusi inaweza kuendelea kuleta madhara kwa Ukraine, lakini haina uwezo wa kushinda vita na kuitwaa Ukraine.
Angalia maendeleo iliyopata Ukraine kwenye vita hivi, maendeleo yanayoitesa Urusi:
AI-Guided Drones: Ukraine is widely deploying AI-enabled systems (like the Hornet system). These drones target Russian supply convoys, food, and fuel trucks at operational depths without requiring constant operator instructions.
Low-Cost Interceptors: Ukraine has developed fast, mass-produced interceptor drones that can reach speeds of over 300 km/h to shoot down incoming Russian surveillance and Shahed-style attack drones. This "small-scale air defense" (
Mala PPO) significantly reduces the need for expensive surface-to-air missiles.
- Long-Range Strikes: Average tactical drone ranges have doubled, enabling Ukraine to routinely strike military repair plants, oil refineries, and airbases deep inside Russian territory. [1, 2]
- Fibre-Optic Capabilities: Ukraine has overtaken Russia in the production and deployment of jamming-resistant fibre-optic drones, neutralizing much of Russia's electronic warfare advantages.