Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kiwjingu cha safari za kushtukiza cha raisi wa Ukraine, Zelenky zimempeleka mpaka kwenye mkutanao wa jumuiya ya waarabu jijini Jeddah.
Akiwa ndani ya mkutano huo Zelensky alikiri kuwa ni taifa moja tu la kiarabu lililoiunga mkono Urusi katika uvamizi wake kwa taifa lake, taifa ambalo ni Syria.
Akaongeza kwa kusema mataifa yaliyobaki yote yamejifanya kama yana chongo na hayaoni kinachoendelea kufanywa na Urusiikwa nchi yake. Mwishowe akawaambia amekwenda kwenye kikao hicho kuwaambia wajiangalie upya na kuchukua msimamo wa haki katika vita hivyo.