Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Jamaa ana mibom kuanzia uzito wa robo kilo mpaka tani200Mbwa huyu VLADIMIR ANAMWAGA MABOMU KAMA NJEGERE.
Ikiwa inamuhusu Urusi bas mnaita ni propaganda [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uingereza yaripoti kuwa Zelensky amekiri kuwa Counter offensive imeshindwa kwenda kama walivyopanga. Zele adai sababu ni kuwa Urusi imetumia kila resource iliyo nayo kuzuia ufanisi wa Counter offensive ya Ukraine + Marekani + NATO.
Kumbe ndo maana waUkraine wa Kibaigwa wamekuwa kimya kwa muda mrefu hapa jukwaani licha ya kuwa wapo kwenye Counter-offensive.
===
View attachment 2690031
View attachment 2690035
Utajua kwanini bajeti yake ya ulinzi ni nzito hivyo.pampers zinavuka.Jamaa ana mibom kuanzia uzito wa robo kilo mpaka tani200
Na taget akiipenda sana anaweza ipiga na bom za aina tofaut tofaut zaid ya twenty kwa mkupuo mmoja
Kipind OP inaanza kwa siku alikua anapiga hadi bom alfu kumi zenye uzito kuanzia kilo500 hadi tani200 ndani ya Ukraine,na nadhan hii ndio sabab NYETO wameonelea bora watumie proxy tu kwa sabab hakuna aliyetayar kupokea ugen wa bom za kiwango hicho
Cluster munition Ni hatari[emoji28]Putin kawambia mabomu ya mtawanyo wanayo yakutosha wana ngoja waanze
Zinanyesha kama mvua, zinaweza zikarushwa ndani ya mji kila sehem ikapata manyunyuCluster munition Ni hatari[emoji28]
Tatizo kubwa sio yote yatakayolipuka kwa muda huoZinanyesha kama mvua, zinaweza zikarushwa ndani ya mji kila sehem ikapata manyunyu
Nahisi yule ni Robot, maana kila dakika anafungua nyuzi hata kama hana cha maana cha kuzungumzaKibaigwa mbali, Kuna mnato mmoja wa kibera anatusumbua Sana humu na nyuzi zake feki feki[emoji28]