Zelensky akiri kuwa Counter offensive imefeli, ailaumu Urusi kwa kuifelisha Counter offensive

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Uingereza yaripoti kuwa Zelensky amekiri kuwa Counter offensive imeshindwa kwenda kama walivyopanga. Zele adai sababu ni kuwa Urusi imetumia kila resource iliyo nayo kuzuia ufanisi wa Counter offensive ya Ukraine + Marekani + NATO.

Kumbe ndo maana waUkraine wa Kibaigwa wamekuwa kimya kwa muda mrefu hapa jukwaani licha ya kuwa wapo kwenye Counter-offensive.
===
SmartSelect_20230716-173714_Chrome.jpg

SmartSelect_20230716-173919_Chrome.jpg
 
Mbwa huyu VLADIMIR ANAMWAGA MABOMU KAMA NJEGERE.
Jamaa ana mibom kuanzia uzito wa robo kilo mpaka tani200

Na taget akiipenda sana anaweza ipiga na bom za aina tofaut tofaut zaid ya twenty kwa mkupuo mmoja

Kipind OP inaanza kwa siku alikua anapiga hadi bom alfu kumi zenye uzito kuanzia kilo500 hadi tani200 ndani ya Ukraine,na nadhan hii ndio sabab NYETO wameonelea bora watumie proxy tu kwa sabab hakuna aliyetayar kupokea ugen wa bom za kiwango hicho
 
Uingereza yaripoti kuwa Zelensky amekiri kuwa Counter offensive imeshindwa kwenda kama walivyopanga. Zele adai sababu ni kuwa Urusi imetumia kila resource iliyo nayo kuzuia ufanisi wa Counter offensive ya Ukraine + Marekani + NATO.

Kumbe ndo maana waUkraine wa Kibaigwa wamekuwa kimya kwa muda mrefu hapa jukwaani licha ya kuwa wapo kwenye Counter-offensive.
===
View attachment 2690031
View attachment 2690035
Ikiwa inamuhusu Urusi bas mnaita ni propaganda [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa ana mibom kuanzia uzito wa robo kilo mpaka tani200

Na taget akiipenda sana anaweza ipiga na bom za aina tofaut tofaut zaid ya twenty kwa mkupuo mmoja

Kipind OP inaanza kwa siku alikua anapiga hadi bom alfu kumi zenye uzito kuanzia kilo500 hadi tani200 ndani ya Ukraine,na nadhan hii ndio sabab NYETO wameonelea bora watumie proxy tu kwa sabab hakuna aliyetayar kupokea ugen wa bom za kiwango hicho
Utajua kwanini bajeti yake ya ulinzi ni nzito hivyo.pampers zinavuka.
 
Zinanyesha kama mvua, zinaweza zikarushwa ndani ya mji kila sehem ikapata manyunyu
Tatizo kubwa sio yote yatakayolipuka kwa muda huo

Na ndio maana wavietnam waliionya Ukraine kutokana na madhara ya aina hiyo ya mabom kwa sabab hata huko Vietnam yalitumika kitambo tu lkn mpaka leo wanahangaika kusafisha masalia
 
Back
Top Bottom