Zelensky ameduwaa: Kikao cha NATO kimeisha na wajumbe wanafuraha na kupongezana, lakini yeye hana anajiona mpweke!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
1689230773410.png

Picha huzungumza vizuri zaidi, hasa kama ikipigwa bila mtu kujua anapigwa picha!! Kwenye picha hii Zelensky anaonekana kuduwaa, kushangaa, haamini kama kikao kimekwisha na wajumbe wote wako bize kufurahi na kupongezana.

Wakati wenzake wanachangamkiana yeye anajiona mpweke! ni kama wamemsusa kisayansi, hakuna anayemchangamkia!!

Zelensky alitarajia kikao cha NATO kitamtakia wakati maalumu atakapojiunga na NATO!! Haikuwa hivyo! Na aliwatukana wajumbe wa NATO kwenye akaunti yake ya twitter akasema "wamefanya jambo la kipumbavu ambalo halina mfano huko nyuma"-unprecedented absurd!!.

Sasa hapa wakaamua kumchunia, akajikuta hachangamkiwi na yeyote!! Unajua matendo yana nguvu kuliko maneno, hata kama baadaye walimwahidi kuendelea kumpa misaada lakini hali halisi amejionea mwenyewe!!​
 
Ni kama vile waliamua kumsusa na kumtenga kwa muda ili akili imrudie!! Waziri wa ulinzi wa Uingereza alimbwatukia akasema "Zelensky anapaswa aonyeshe shukrani!! Inaelekea wanamwona kama mtu asiye na shukrani!! Maana kila akizungumza ni kuomba silaha!! hajawahi kutosheka!! Sasa hivi analilia ndege za kivita F-16.
 
View attachment 2686732

Picha huzungumza vizuri zaidi, hasa kama ikipigwa bila mtu kujua anapigwa picha!! Kwenye picha hii Zelensky anaonekana kuduwaa, kushangaa, haamini kama kikao kimekwisha na wajumbe wote wako bize kufurahi na kupongezana. Wakati wenzake wanachangamkiana yeye anajiona mpweke! ni kama wamemsusa kisayansi, hakuna anayemchangamkia!!
Zelensky alitarajia kikao cha NATO kitamtakia wakati maalumu atakapojiunga na NATO!! Haikuwa hivyo! Na aliwatukana wajumbe wa NATO kwenye akaunti yake ya twitter akasema "wamefanya jambo la kipumbavu ambalo halina mfano huko nyuma"-unprecedented absurd!!. Sasa hapa wakaamua kumchunia, akajikuta hachangamkiwi na yeyote!! Unajua matendo yana nguvu kuliko maneno, hata kama baadaye walimwahidi kuendelea kumpa misaada lakini hali halisi amejionea mwenyewe!!​
Msaada wa NATO kwa Ukraine bado ni mkubwa na unaendelea ..picha isiwachanganye .sana bado NATO koo..lakini sisi tunaotizama UNABII tunasema kwamba RUSSIA can not be defeated by Ukraine&NATO , Russia will WIN this war!!!!!! even if Russia is doing an evil thing, Russia (must) will win this War!!! Remember these words [emoji16][emoji16]
 
View attachment 2686732

Picha huzungumza vizuri zaidi, hasa kama ikipigwa bila mtu kujua anapigwa picha!! Kwenye picha hii Zelensky anaonekana kuduwaa, kushangaa, haamini kama kikao kimekwisha na wajumbe wote wako bize kufurahi na kupongezana.

Wakati wenzake wanachangamkiana yeye anajiona mpweke! ni kama wamemsusa kisayansi, hakuna anayemchangamkia!!

Zelensky alitarajia kikao cha NATO kitamtakia wakati maalumu atakapojiunga na NATO!! Haikuwa hivyo! Na aliwatukana wajumbe wa NATO kwenye akaunti yake ya twitter akasema "wamefanya jambo la kipumbavu ambalo halina mfano huko nyuma"-unprecedented absurd!!.

Sasa hapa wakaamua kumchunia, akajikuta hachangamkiwi na yeyote!! Unajua matendo yana nguvu kuliko maneno, hata kama baadaye walimwahidi kuendelea kumpa misaada lakini hali halisi amejionea mwenyewe!!​
nadhani anastahili yote hayo, alitakiwa kutumia akili pale pale mwanzoni sasaivi nchi yake isingekuwa magofu na watu wake wasingekuwa wakimbizi ulaya. alikuwa hajawajua NATO walivyo wasaliti sasa anawaona kwa macho.
 
Africa Sasa,huuuuuuu
Yuko na huyo dada, yeye kasalimia amempa nafasi mdada na yeye azungumze na mdada mwenzake

Hivi kwa Nini sisi black mapito magumu ya mtu ndio story zetu nzuri
Nani kasema ni story nzuri, hii ni habari kama zilivyo habari zingine! Basi umlaumu aliyepiga hiyo picha maana imeonesha hali ngumu kwa Zelensky!!
 
View attachment 2686732

Picha huzungumza vizuri zaidi, hasa kama ikipigwa bila mtu kujua anapigwa picha!! Kwenye picha hii Zelensky anaonekana kuduwaa, kushangaa, haamini kama kikao kimekwisha na wajumbe wote wako bize kufurahi na kupongezana.

Wakati wenzake wanachangamkiana yeye anajiona mpweke! ni kama wamemsusa kisayansi, hakuna anayemchangamkia!!

Zelensky alitarajia kikao cha NATO kitamtakia wakati maalumu atakapojiunga na NATO!! Haikuwa hivyo! Na aliwatukana wajumbe wa NATO kwenye akaunti yake ya twitter akasema "wamefanya jambo la kipumbavu ambalo halina mfano huko nyuma"-unprecedented absurd!!.

Sasa hapa wakaamua kumchunia, akajikuta hachangamkiwi na yeyote!! Unajua matendo yana nguvu kuliko maneno, hata kama baadaye walimwahidi kuendelea kumpa misaada lakini hali halisi amejionea mwenyewe!!​
Tatizo Biden alimuita Vladimir badala ya Volodymir 🤣🤣
 
Zelesky ni mwanaume haswaa anastahili pongezi amepambana kadri ya uwezo wake kupambania nchi yake, ni kweli anapitia magumu kuliko Rais yyte yule duniani ila funzo alilompa Putin sidhani kama atakuja kurudia tena ujinga wake wa kuvamia majirani zake.

Mwanaume rijali ni yule anayepambania familia yake pale majambazi au vibaka wanapoingia ndani kwa lengo la kuiba na sio yule anaye surrender na kukubali kuzalilishwa nyumbn kwake mwenyewe.

Go Zelesky mapambano yaendelee.
 
Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana

0865deb_1689204284728-000-33nu6zp.jpg

359855865_701220725380523_6321579782063674639_n.jpg
Lakini nimeona taarifa BBC jamaa akilia lia kuwalalamikia Nato na kujionea kama amesalitiwa kutomfanyia michakato kwa haraka .

Dah! anahuzunisha sana.
 
View attachment 2686732

Picha huzungumza vizuri zaidi, hasa kama ikipigwa bila mtu kujua anapigwa picha!! Kwenye picha hii Zelensky anaonekana kuduwaa, kushangaa, haamini kama kikao kimekwisha na wajumbe wote wako bize kufurahi na kupongezana.

Wakati wenzake wanachangamkiana yeye anajiona mpweke! ni kama wamemsusa kisayansi, hakuna anayemchangamkia!!

Zelensky alitarajia kikao cha NATO kitamtakia wakati maalumu atakapojiunga na NATO!! Haikuwa hivyo! Na aliwatukana wajumbe wa NATO kwenye akaunti yake ya twitter akasema "wamefanya jambo la kipumbavu ambalo halina mfano huko nyuma"-unprecedented absurd!!.

Sasa hapa wakaamua kumchunia, akajikuta hachangamkiwi na yeyote!! Unajua matendo yana nguvu kuliko maneno, hata kama baadaye walimwahidi kuendelea kumpa misaada lakini hali halisi amejionea mwenyewe!!​
Hamna watu wanafiki kama Nato wana mwambia zelesinky kwamba kupewa timetable ya kuingia Nato itategemea na success result chanya zake za vita dhidhi ya Russia, wakati hao hao wenyewe ndo wemeshindwa Russia sasa wana musukumia yeye afanye nini kwa mighty Russia.
 
Lakini nimeona taarifa BBC jamaa akilia lia kuwalalamikia Nato na kujionea kama amesalitiwa kutomfanyia michakato kwa haraka .

Dah! anahuzunisha sana.

Hajasalitiwa maana ameilemaza Urusi mliyokua mnaitegemea, kainchi kake kadogo kamefanya makubwa sana kwa silaha za NATO.
Kujiunga NATO hata yeye anajua haingewezekana maana sera yao hairuhusu nchi iliyo vitani kujiunga, ila nimependa sana anavyowasilisha hoja zake, yaani vitabu vya historia vitaandika sana kumhusu, atasomwa zaidi ya miaka 100, maana huyu hapa alipewa masaa 24 aihame Ukraine, leo tunamuona amepata ujasiri wa kutamba kote kama rais.
 
Back
Top Bottom