uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo ya kujitakia unataka nani akuonee huruma anaonewa huruma rais nchi ipo kwenye mafuriko au vita ambavyo kweli mgogoro ulikuwa hausuluhishiki ww vita kajitakia mwenyewe.Africa Sasa,huuuuuuu
Yuko na huyo dada, yeye kasalimia amempa nafasi mdada na yeye azungumze na mdada mwenzake
Hivi kwa Nini sisi black mapito magumu ya mtu ndio story zetu nzuri
Nilijua tu kubwa jinga ukose kuwataja maustadh hapa 😃,,, we kubwa jinga kwani maustadh wamekufanya nini mana dah😂😅Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana
![]()
![]()
Angefanya nini kuepusha Ukraine kuvamiwa na Putin??Matatizo ya kujitakia unataka nani akuonee huruma anaonewa huruma rais nchi ipo kwenye mafuriko au vita ambavyo kweli mgogoro ulikuwa hausuluhishiki ww vita kajitakia mwenyewe.
Zelensky ni mjinga...alipaswa kutumia akili zake bila kuendeshwa na mtu...mfano wako hata hauendani na kilichotokea Ukraine...kuba historia kubwa huko nyuma..mpaka wamefikia hapo..Zelesky ni mwanaume haswaa anastahili pongezi amepambana kadri ya uwezo wake kupambania nchi yake, ni kweli anapitia magumu kuliko Rais yyte yule duniani ila funzo alilompa Putin sidhani kama atakuja kurudia tena ujinga wake wa kuvamia majirani zake.
Mwanaume rijali ni yule anayepambania familia yake pale majambazi au vibaka wanapoingia ndani kwa lengo la kuiba na sio yule anaye surrender na kukubali kuzalilishwa nyumbn kwake mwenyewe.
Go Zelesky mapambano yaendelee.