Zelensky ameduwaa: Kikao cha NATO kimeisha na wajumbe wanafuraha na kupongezana, lakini yeye hana anajiona mpweke!!

Zelensky ameduwaa: Kikao cha NATO kimeisha na wajumbe wanafuraha na kupongezana, lakini yeye hana anajiona mpweke!!

Africa Sasa,huuuuuuu
Yuko na huyo dada, yeye kasalimia amempa nafasi mdada na yeye azungumze na mdada mwenzake



Hivi kwa Nini sisi black mapito magumu ya mtu ndio story zetu nzuri
Matatizo ya kujitakia unataka nani akuonee huruma anaonewa huruma rais nchi ipo kwenye mafuriko au vita ambavyo kweli mgogoro ulikuwa hausuluhishiki ww vita kajitakia mwenyewe.
 
Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana

0865deb_1689204284728-000-33nu6zp.jpg


359855865_701220725380523_6321579782063674639_n.jpg
Nilijua tu kubwa jinga ukose kuwataja maustadh hapa 😃,,, we kubwa jinga kwani maustadh wamekufanya nini mana dah😂😅
 
Matatizo ya kujitakia unataka nani akuonee huruma anaonewa huruma rais nchi ipo kwenye mafuriko au vita ambavyo kweli mgogoro ulikuwa hausuluhishiki ww vita kajitakia mwenyewe.
Angefanya nini kuepusha Ukraine kuvamiwa na Putin??
 
Zelesky ni mwanaume haswaa anastahili pongezi amepambana kadri ya uwezo wake kupambania nchi yake, ni kweli anapitia magumu kuliko Rais yyte yule duniani ila funzo alilompa Putin sidhani kama atakuja kurudia tena ujinga wake wa kuvamia majirani zake.

Mwanaume rijali ni yule anayepambania familia yake pale majambazi au vibaka wanapoingia ndani kwa lengo la kuiba na sio yule anaye surrender na kukubali kuzalilishwa nyumbn kwake mwenyewe.

Go Zelesky mapambano yaendelee.
Zelensky ni mjinga...alipaswa kutumia akili zake bila kuendeshwa na mtu...mfano wako hata hauendani na kilichotokea Ukraine...kuba historia kubwa huko nyuma..mpaka wamefikia hapo..
 
Jamaa ana rethinking his life decisions, kutoka kuwa comedian mpaka kufikia hatua ya kuteketeza nchi nzima, anajisemea "wtf just happened to me?"
 
Back
Top Bottom