MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
sisi hatuangalii hizo, tunawapelekea pumzi ya moto tu!
Na sisi hatutetegemei matamko, tunasukuma ndani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sisi hatuangalii hizo, tunawapelekea pumzi ya moto tu!
nyie ndio makelele mengi..!Mwanaume Russia hana muda na Media, ni kwa masuala ya msingi tu. Ushaona Putin anazungumzia zungumzia mambo hayo ila Biden hata akiwa na familia yake aachi kuiongelea Vita na Russia.Na sisi hatutetegemei matamko, tunasukuma ndani...
nyie ndio makelele mengi..!Mwanaume Russia hana muda na Media, ni kwa masuala ya msingi tu. Ushaona Putin anazungumzia zungumzia mambo hayo ila Biden hata akiwa na familia yake aachi kuiongelea Vita na Russia.
Tatizo huko 254 ushashiba ugali wako unaleta propaganda za ruto na raila hapaKwa sasa hawezi kujitokeza, amekua mwoga mwoga drone zinamkuta ikulu hivyo hata hao media anawaogopa sasa, hebu ona hata salamu kwa mtoto huwa shughuli....
![]()
....Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.
Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa kwenye mji wa Bakhmut.
Bwana Zele akashindwa kuwaongopea mabosi wake, hatimaye kwa masikitiko makubwa na uso uliojaa fedheha iso na kifani akajibu HAPANA, Ukraine kwa sasa haimiliki sehemu yoyote ya Bakhmut, si tu mtaa bali hata kanyumba kamoja.
Cc: MK254
=======
View attachment 2629692
View attachment 2629693
Hongera kwa WARGNERKama unasikia lugha za watu huyo hapo zelensky anakili mwenyewe kabisa. Analaumu Russia kuharibu majengo na miundombinu ya bukhmut wakati majeshi yake zelensky ndo yalikuwa yanajificha kwenye makazi ya watu, Wagner wakawa wanawapelekea Moto uko uko majengo yanalipuliwa tu.
Kwasababu habari hii imeletwa na vyanzo vya uhakika vya habari duniani na nchi za magharibi yaani DW.Kwann huu Uzi Mods wameu pin huku juu?