Tunasema hizi habari za Russia ku take control bakhmuti jana zilisambaa sana kwenye vyombo vya habari zote CNN, BBC, Aljazeera nk., lakini walivyokuwa wanazitoa wao kwenye television zote hizo walikuwa wanabalance na habari ya wakati huo huko Kamanda wa Ukraine yeye anakataa bakhmut kuwa mikononi mwa Russia, na alisema vita inaendelea na kuna maeneo muhimu zaidi ya viwanda yapo chini ya Ukraine katika mji ambao Russia wanadi kuuteka.
Kumbukuka Russia walipovamia mji wa bakhmuti awali walidai tayari washauteka bakhmut sasa bakhmut inakuwa captured mara ngapi?? siku zile na sasa
Ndio maana habari zako za ku-copy na ku-paste za DW bila kueleza upande wapili sisi tunasema hizo habari iwekwe kwa dustbin, hatuwezi kuifanyia kazi.