Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

Nahisi umechanganyikiwa Mkuu, unakopi habari ya DW ya jana jumamosi (Saturday) tena toka kwa viongozi uchwara wa Ukraine halafu wasiotajwa majina wakati mie habari hii niliyoileta ni ya leo leo jumapili tena hata lisaa limoja halijapita toka iripotiwe...na zaidi ya yote inatoka kwa Rais wa Ukraine Bwana Zelensky akiongea officially kwenye mkutano wa G7.

View attachment 2629719
E5A51C1F-2D3C-42F1-98E7-6DB9015D9F67.jpeg

Haya ndio maneno ya Zelensky usimtilie maneno mdomoni, Russia wame struggle sana kwenye hii vita sasa wanaona aibu muda unaenda kwao zaidi ni loss na kukujazeni propaganda
 
View attachment 2630324
Haya ndio maneno ya Zelensky usimtilie maneno mdomoni, Russia wame struggle sana kwenye hii vita sasa wanaona aibu muda unaenda kwao zaidi ni loss na kukujazeni propaganda
Wagner Chief anamwambia Zelensky kwamba wakikutana na Joe Biden kwenye huo mkutano wa G7 amupe kiss biden kwenye upara wake kwa niaba yake.

Amwambiye kwamba wanaume tayari wanakunywa chai hapa bukhmut.

Pia amusalimiye mkuu wa majeshi ya Ukraine Kama yuko hai. Maana inasemekana mkuu huyo wa majeshi alipigwa kwenye yale maandaki ya ft 300 chini ya ardhi na kinzhai na baadhi ya majenerali na specialist wengi wa kijeshi walienda na maji akiwemo huyo mkuu wa majeshi mpaka leo karibu mwezi haonekani.
 

Attachments

  • Screenshot_20230521-184626.png
    Screenshot_20230521-184626.png
    117.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230521-184518.png
    Screenshot_20230521-184518.png
    115 KB · Views: 4
Ujifunze kufanya copy pasting ya taarifa zote, mbona umeepuka kuweka hii paragraph

The claim that the city has been captured was disputed on Saturday by Ukrainian officials, who said fighting to control the city continued.​


Ukraine's Deputy Defense Minister Hanna Maliar said heavy fighting was continuing.
Kati ya Saturday na Sunday ipi inaanza?
 
Wagner Chief anamwambia Zelensky kwamba wakikutana na Joe Biden kwenye huo mkutano wa G7 amupe kiss biden kwenye upara wake kwa niaba yake. Amwambiye kwamba wanaume tayari wanakunywa chai hapa bukhmut. Pia amusalimiye mkuu wa majeshi ya Ukraine Kama yuko hai. Maana inasemekana mkuu huyo wa majeshi alipigwa kwenye yale maandaki ya ft 300 chini ya ardhi na kinzhai na baadhi ya majenerali na specialist wengi wa kijeshi walienda na maji akiwemo huyo mkuu wa majeshi mpaka leo karibu mwezi haonekani.
Sasa mimi siwezi jibu porojo., nyinyi mulisema Zelensky kasema kashindwa bakhmut sasa Zelensky tunamuona live hapa Aljazeera TV anakataa propaganda zenu za kupika pika
1B2BB9EB-A3B9-473B-A7BD-0D9B35A3F638.jpeg
 
Sasa mimi siwezi jibu porojo., nyinyi mulisema Zelensky kasema kashindwa bakhmut sasa Zelensky tunamuona live hapa Aljazeera TV anakataa propaganda zenu za kupika pika
View attachment 2630509
Usoni anaonekana kabisa kuwa amechanganyikiwa!! Tangu Marekani ilipogundua kuwa ni suala la muda tu Bakhmut lazima itatekwa ikawa inasema "kamji kenyewe ni kadogo hakana faida yoyote ya kimkakati kijeshi! Ila Zelensky hakukubaliana nao!! Leo na yeye anasema kamji kenyewe kamebaki magofu tu!!
 
Sasa mimi siwezi jibu porojo., nyinyi mulisema Zelensky kasema kashindwa bakhmut sasa Zelensky tunamuona live hapa Aljazeera TV anakataa propaganda zenu za kupika pika
View attachment 2630509
Kama unasikia lugha za watu huyo hapo zelensky anakili mwenyewe kabisa. Analaumu Russia kuharibu majengo na miundombinu ya bukhmut wakati majeshi yake zelensky ndo yalikuwa yanajificha kwenye makazi ya watu, Wagner wakawa wanawapelekea Moto uko uko majengo yanalipuliwa tu.
 
Kwa hiyo AFU ndiyo wameharibu mji wanaoulinda?

Sasa kama mji umeharibiwa AFU wanafanya nini hapo na wao ndiyo walikuwa wanaulinda?

Jisikilize unapoamua kuandika ama kusema jambo . Itakusaidia kuepuka kuonekana ni mbabaishaji.
Hapo Ni strategic area ya njia panda kupelekea silaha sehemu nyingine hivyo Russia wamewakata. Pia bukhmut Kuna maandaki ya chini ya ardhi ambayo Ni mazuri kwa vita
Ndo maana wataendelea kuwepo Apo mpaka zoezi lifike mwisho.
 
Vyombo vya habari ni tool muhimu propaganda

Urusi inawalipa CNN na Chombo.cha habari cha Ujerumani cha Dw

Russia baada ya vyombo vyao vya habari kupigwa pini kimataifa wanahonga CNN na DW

Rushwa iko kona
Pole sana mnama


Karibu tupate kifungua kinywa
JamiiForums-661793165.jpg
 
Ule mtego wa Wagner niliuelewa Sana,
Mara wajifanye hawana silaha, prigo haelewani na shoigu[emoji1]

Mara wajifanye wanaretreat wamesusa vita, Ukraine wakavimba vichwa,kutoka mafichoni kwny mapagale na kwenda kichwa kichwa kutake their position uku wakipiga selfie mbalimbali[emoji1]

Kumbe Ni mtego,
Usiku Wagner Wakarudi na kuwaogesha mvua ya mabomu, wakafa Kama kumbikumbi[emoji38]
 
Back
Top Bottom