Mkuu,
MK254 sio kwamba haelewi kuwa Bakhmut imeshatekwa na Urusi, anaelewa vema. Lakini anajaribu kuficha uso wake kwa aibu na fedheha iliyompata maana aliaminishwa kuwa silaha za Marekani (
HIMARS,
HARM)+ Uingereza (
Storm Shadow long range cruise missiles,
Challenger 2 tank,
M777 howitzer) + Ujerumani (
Leopard 2 tank) + France (
M777 howitzer,
LRU multiple-launch rocket systems) + NATO kwa ujumla zingeilinda Bakhmut dhidi ya zile za Urusi, lakini zimefeli.
Akikubali hadharani kuwa Bakhmut imeanguka ni sawa na yeye kukubali hadharani kuwa silaha za Marekani + Uingereza + Ujeumani + France + NATO kwa ujumla ni dhaifu mbele ya zile za Urusi...kitu ambacho yeye MK254 hayupo tayari kukikubali hadharani na kutangaza...anaishia kukikubali moyoni tu tena kwa maumivu makali mno!