Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namwona MK254 akiendelea kuteseka vibaya mnooo!
Uliyechoka ni wewe team Upinde.Nilijuwa tu utachoka na propaganda za russia.,
Ila mkuu hapa majuzi, wewe ukiongozwa na BBC mlituaminisha Wagner wame retreat leo yako wapi mkuu.
Waliokimbia ni wanajeshi wa Urusi waliokuwa walinzi wa Franks ili Wagner waendelee kupiga deeply.ndio maana Ukraine Bado haijaretreat kwa kuwa Bado wanapigana kwenye frank for encircement.Ili utangagaze lazima ushikurie franks zote ili Baki salama katikatiIla mkuu hapa majuzi, wewe ukiongozwa na BBC mlituaminisha Wagner wame retreat leo yako wapi mkuu.
Tatizo uko nyuma ya wakati!! Unanukuu taarifa ya jana jumamosi wakati wenzako wanakupa taarifa ya leo jumapili!!Ujifunze kufanya copy pasting ya taarifa zote, mbona umeepuka kuweka hii paragraph
The claim that the city has been captured was disputed on Saturday by Ukrainian officials, who said fighting to control the city continued.
Ukraine's Deputy Defense Minister Hanna Maliar said heavy fighting was continuing.
Hakuna sehemu Zelesky kakiri Bakmut kuchukuliwa leo amekanusha acheni propaganda na unafikiNdio maana siku zote usema wakati mwingine ni vigumu kumuelewa MK-254, leo hii Rais Zelensky mwenyewe kakiri kwamba amepoteza Bakhamut - lakini yeye anaganganiza kutuletea habari za jana kutoka. kwa highly questionable General.
Zele amejichanganya sana mpaka anatia huruma.Wakaja makamanda wake wakajaribu kusahihisha kumbe ndio wanazidi kukoroga,Wanasema wapo kwenye sehemu ambayo si muhimu kamwe lakini wako karibu kuizunguka Bakhmut yote.Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.
Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa kwenye mji wa Bakhmut.
Bwana Zele akashindwa kuwaongopea mabosi wake, hatimaye kwa masikitiko makubwa na uso uliojaa fedheha iso na kifani akajibu HAPANA, Ukraine kwa sasa haimiliki sehemu yoyote ya Bakhmut, si tu mtaa bali hata kanyumba kamoja.
Cc: MK254
=======
View attachment 2629692
View attachment 2629693
Kule Soledar ilikuwa kama hivyo miezi 2 iliyopita.Ni kweli Bakhmut mmebaki nayo tu kwenye mioyo yenu mkiitamani lakini imeshachukuliwa na Urusi kama Zalensky anavyoripotiwa na The Washington Post ya Marekani...
======
View attachment 2629849
View attachment 2629851
Vyombo vya habari ni tool muhimu propagandaNahisi umechanganyikiwa Mkuu, unakopi habari ya DW ya jana jumamosi (Saturday) tena toka kwa viongozi uchwara wa Ukraine halafu wasiotajwa majina wakati mie habari hii niliyoileta ni ya leo leo jumapili tena hata lisaa limoja halijapita toka iripotiwe...na zaidi ya yote inatoka kwa Rais wa Ukraine Bwana Zelensky akiongea officially kwenye mkutano wa G7.
View attachment 2629719
Wewe maji yamekufika shingoni tulia dozi ikuingie taratibu.Vyombo vya habari ni tool muhimu propaganda
Urusi inawalipa CNN na Chombo.cha habari cha Ujerumani cha Dw
Russia baada ya vyombo vyao vya habari kupigwa pini kimataifa wanahonga CNN na DW
Rushwa iko kona
Hatuwezi kufanyia kazi habari DW mara zote huandika habari tofauti sana hawa hawa DW ndio walisema bakhmut imeanguka mwezi uliopita sasa leo wanakuja na kauli nyengine sasa swali ni Bakhmut inaanguka mara ngapi?? Kamanda wa Ukraine anasema battle inaendelea tena kwa huko upande wa magharibi mwa mjia bakhmut
Kwa Majina hizo siraha zinatisha, ila UWANJANI hazieleweki wajameni!Mkuu, MK254 sio kwamba haelewi kuwa Bakhmut imeshatekwa na Urusi, anaelewa vema. Lakini anajaribu kuficha uso wake kwa aibu na fedheha iliyompata maana aliaminishwa kuwa silaha za Marekani (HIMARS, HARM)+ Uingereza (Storm Shadow long range cruise missiles, Challenger 2 tank, M777 howitzer) + Ujerumani (Leopard 2 tank) + France (Caesar self propelled howitzer, LRU multiple-launch rocket systems) + NATO kwa ujumla zingeilinda Bakhmut dhidi ya zile za Urusi, lakini zimefeli.
Akikubali hadharani kuwa Bakhmut imeanguka ni sawa na yeye kukubali hadharani kuwa silaha za Marekani + Uingereza + Ujeumani + France + NATO kwa ujumla ni dhaifu mbele ya zile za Urusi...kitu ambacho yeye MK254 hayupo tayari kukikubali hadharani na kutangaza...anaishia kukikubali moyoni tu tena kwa maumivu makali mno!
Atapataje Lunch wakati ana maumivu moyoni?Mkuu, umepata lunch lakini?
Acha uongooo mkuu nyinyi pro putin mnaishi kwa uongo sanaaDeutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.
Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa kwenye mji wa Bakhmut.
Bwana Zele akashindwa kuwaongopea mabosi wake, hatimaye kwa masikitiko makubwa na uso uliojaa fedheha iso na kifani akajibu HAPANA, Ukraine kwa sasa haimiliki sehemu yoyote ya Bakhmut, si tu mtaa bali hata kanyumba kamoja.
Cc: MK254
=======
View attachment 2629692
View attachment 2629693
Ila mkuu hapa majuzi, wewe ukiongozwa na BBC mlituaminisha Wagner wame retreat leo yako wapi mkuu.
Tatizo uko nyuma ya wakati!! Unanukuu taarifa ya jana jumamosi wakati wenzako wanakupa taarifa ya leo jumapili!!
Ujifunze kufanya copy pasting ya taarifa zote, mbona umeepuka kuweka hii paragraph
The claim that the city has been captured was disputed on Saturday by Ukrainian officials, who said fighting to control the city continued.
Ukraine's Deputy Defense Minister Hanna Maliar said heavy fighting was continuing.
Kazi imeisha jamaa wameshamaliza kazi waliyotumwa na president Putin angalia hapo.