MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mkuu, MK254 sio kwamba haelewi kuwa Bakhmut imeshatekwa na Urusi, anaelewa vema. Lakini anajaribu kuficha uso wake kwa aibu na fedheha iliyompata maana aliaminishwa kuwa silaha za Marekani (HIMARS, HARM)+ Uingereza (Storm Shadow long range cruise missiles, Challenger 2 tank, M777 howitzer) + Ujerumani (Leopard 2 tank) + France (Caesar self propelled howitzer, LRU multiple-launch rocket systems) + NATO kwa ujumla zingeilinda Bakhmut dhidi ya zile za Urusi, lakini zimefeli.
Akikubali hadharani kuwa Bakhmut imeanguka ni sawa na yeye kukubali hadharani kuwa silaha za Marekani + Uingereza + Ujeumani + France + NATO kwa ujumla ni dhaifu mbele ya zile za Urusi...kitu ambacho yeye MK254 hayupo tayari kukikubali hadharani na kutangaza...anaishia kukikubali moyoni tu tena kwa maumivu makali mno!
Bakhmut imeshindikana, Putin hana washauri wazuri hadi anaaibika kila iku Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu