Zelensky: Huu ni ushindi mkubwa kwetu tuliousubiri kwa miaka 30

Zelensky: Huu ni ushindi mkubwa kwetu tuliousubiri kwa miaka 30

Hata hili pia ni muhimu maana wameshajiondoa rasmi kwenye 'himaya ya ushawishi ya Urusi' na imefungua njia ya kuelekea kwenye ulimwengu mpya.

Ndugu mbona mnakua hivi lakini?
Urusi haijaikataza Ukraine ijiunge na EU,EU ni umoja wa kisiasa na kiuchumi.
Ndio maana hana shida na nchi Wanachama wa EU yeye shida yake ni umoja wa kujihami kijeshi wa nchi za ulaya Magharibi.
Hebu ona hapa, Uingereza alijitoa EU,yaani Sasa hivi sio mwanachama wa EU,lakini wakati huohuo Uingereza ni mwanachama wa NATO.
Vivyohivyo Uturuki sio mwanachama wa EU lakini ni mwanachama wa NATO.
USA sio mwanachama wa EU lkn ni mwanachama wa NATO.
Tofautisheni bana.aaaagh.
 
Haha wajinga lakini umevaa nguo zao, wanachangia bajeti ya nchi yako.
Kwa kifupi wewe ndio phaller.
Hujui hesabu zao...tuliza kijambio mkuu
Wkend ya leo gharama zako za kinwaji na kilo moja ya mboga nalipa mimi
 
Back
Top Bottom