Ndugu mbona mnakua hivi lakini?
Urusi haijaikataza Ukraine ijiunge na EU,EU ni umoja wa kisiasa na kiuchumi.
Ndio maana hana shida na nchi Wanachama wa EU yeye shida yake ni umoja wa kujihami kijeshi wa nchi za ulaya Magharibi.
Hebu ona hapa, Uingereza alijitoa EU,yaani Sasa hivi sio mwanachama wa EU,lakini wakati huohuo Uingereza ni mwanachama wa NATO.
Vivyohivyo Uturuki sio mwanachama wa EU lakini ni mwanachama wa NATO.
USA sio mwanachama wa EU lkn ni mwanachama wa NATO.
Tofautisheni bana.aaaagh.