Zelensky kutokupigilia suti kama marais wenzake, kung'angania tisheti casual na combat inadhalilisha Ukraine

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Kwanini asivae suti kali?

Kwanini avae tisheti tu?

Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why?

Yaani unakuta hadi walinzi na madereva wa hao viongozi wengine wamenyuka misuti mikali mikali halafu rais wanayempokea/pokelewa naye ako na tisheti, ni nini hiki. Hii inaifanya Ukraine kuwa na picha ya kataifa kavulana kanakotegemea kuangaliwa na mabraza zake kina NATO, US na Ulaya.

Nadharia yangu: Anataka aonekane mdogo, kaonekane katoto kasaidiwe zaidi. Au anataka asichukuliwe siriazi sana awe wanampa mawazo ya namna ya kuendesha nchi yake mwenyewe na vita. Je ni kweli anataka kuwa western puppet kwerikweri?

Kama sio hivyo sasa ni kwa nn hataki kuuvaa uraisi japo kimuonekano? Siweki picha, jitafutieni wenyewe.

Edit: Tunatofautiana akili, wengine bila picha hawaendi so hiki hapa nnachokaziaHii ni sawa kiasi full combat kivita zaidišŸ‘†. Angeshika hata na libunduki kubwakubwa kushow kwamba "I MEAN BUSSINESS"

Nnayokataa mimi ni mambo kama hayašŸ‘‡Yaani hapo hata kama angeamua kuvaa full combat haifai, ataonekana kama yeye ni mercenary anayetumwa na hao wenye suti. (Au ndio ukweli ninišŸ¤”)
Mavazi yangekuwa hayana maana wafalme wangevaa kama subjects sasa.
 
Kwanini asivae suti kali?

Kwanini avae tisheti tu?

Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why...
Mbongo mwenye shida lukuki anaacha kazi zake kuleta mjadala wa mtu asiye mhusu kuvaa tshirt, hatuwezi maliza umaskin
 
Wazo zuri

Sasa apigilie zile full combat gear. Zile full bawa, komando komando kweli. Itawapa hata morali wanajeshi wake.

Rejea hata picha za Magu na kombati, zina mzuka wake.
Una elimu gan mkuu?
 
Una elimu gan mkuu?
Bro kuna msemo wanasema kama kusoma hujui,hata picha huzioni?

Sasa mimi mwanzo nikatumia akili, nikasoma habari mfano Bakhmut imechukuliwa yote na Urusi. Habari ya pili inasema Bhakhmut haijachukuliwa yote, Ukraine bado. Na vyote vyanzo vya kuaminika🤯

Basi nikasema usinchanganye, nikaweka akili pembeni, nikaweka 'elimu' pembeni nikaanza kutumia akili ndogo tu; Ya kutazama picha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…