Zelensky kutokupigilia suti kama marais wenzake, kung'angania tisheti casual na combat inadhalilisha Ukraine

Zelensky kutokupigilia suti kama marais wenzake, kung'angania tisheti casual na combat inadhalilisha Ukraine

Kwanini asivae suti kali?

Kwanini avae tisheti tu?

Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why?

Yaani unakuta hadi walinzi na madereva wa hao viongozi wengine wamenyuka misuti mikali mikali halafu rais wanayempokea/pokelewa naye ako na tisheti, ni nini hiki. Hii inaifanya Ukraine kuwa na picha ya kataifa kavulana kanakotegemea kuangaliwa na mabraza zake kina NATO, US na Ulaya.

Nadharia yangu: Anataka aonekane mdogo, kaonekane katoto kasaidiwe zaidi. Au anataka asichukuliwe siriazi sana awe wanampa mawazo ya namna ya kuendesha nchi yake mwenyewe na vita. Je ni kweli anataka kuwa western puppet kwerikweri?

Kama sio hivyo sasa ni kwa nn hataki kuuvaa uraisi japo kimuonekano? Siweki picha, jitafutieni wenyewe.

Edit: Tunatofautiana akili, wengine bila picha hawaendi so hiki hapa nnachokaziaView attachment 2640123Hii ni sawa kiasi full combat kivita zaidi[emoji115]. Angeshika hata na libunduki kubwakubwa kushow kwamba "I MEAN BUSSINESS"

Nnayokataa mimi ni mambo kama haya[emoji116]View attachment 2640130Yaani hapo hata kama angeamua kuvaa full combat haifai, ataonekana kama yeye ni mercenary anayetumwa na hao wenye suti. (Au ndio ukweli nini[emoji848])
Mavazi yangekuwa hayana maana wafalme wangevaa kama subjects sasa.
Majority of Africans mtafika mbinguni mkiwa hamjatumia hata 0000.27 ya potential iliyo kwenye brains zenu.
 
Ungejua kuhusu t-shirt hiyo usingeongea utopolo huo

Pia
Nyerere enzi zake na idd Amin alishindia kombati mudawote
 
Back
Top Bottom