Zelensky kutokupigilia suti kama marais wenzake, kung'angania tisheti casual na combat inadhalilisha Ukraine

Nchi ipo vitani lazima amiri jeshi awe na gwanda muda wote ni alama ya superiority
 
Ogopa stress wew

Msongo wa mawazo husababisha mtu ajione yu sahihi kwa kila jambo....hata kunywa sumu
 
Nchi yake inavita suti ya nini? Wananchi wake wameuliwa na kuumizwa na wengine wapo displaced., Suti vaa wewe ukienda makanisani
 
Yuko vitani.

Na mavazi yake yana potray hilo jambo.

Walilizungumzia watu wa vyombo vya habar vya mataifa kuwa mavazi yake yanaonyesha kuwa nchi yao haina raha na uhuru hawana cha kufurahia, Jifunze kufuatilia habari dogo na siyo kukurupuka
 
Yuko vitani.

Na mavazi yake yana potray hilo jambo.

Walilizungumzia watu wa vyombo vya habar vya mataifa kuwa mavazi yake yanaonyesha kuwa nchi yao haina raha na uhuru hawana cha kufurahia, Jifunze kufuatilia habari dogo na siyo kukurupuka
Anhaa kumbe ipo strategically, kwa hiyo hayo mavazi ni makusudi kabisa.

Sikuwa na habari hiyo kabla ilikuwa ni nadharia tu hadi mda huu!!.

Kama walishalizungumzia na ndio hivyo na lengo ni kutia huruma basi good move kwake dogo.
 
Ndio maana viongoz wako wapumbav kam ww sababu huna akili ya kujua nchi ipo kweny hali gani , badala ya kuiwazia nchi ww unawazia suti , viongoz wako wanaiba 41B wkt wizara ya elimu ni mbovu , wizara ya ulinzi ni mbovu wizara ya afya ni mbovu , ndio maana mnaitwa kimah
 

Aliwachekesha watu wa Ukraine kwa miaka mingi. Lakini sasa anawaliza.
 
Mwanasiasa hawaishiw ubunifu ili waonekane wanawajibika
 
Pana jamaa nilimwambia ile Tshirt ina uwezo wa kuzuia risasi alikuja kuamini baadae sana...nadhani na wewe hujui kuwa zile Tshirt za kawaida ila zina uwezo wa kuzuia risasi...
 
Unaambiwa zile Iskanda za Mrusi zimesababisha mfukuto wa joto kupanda mara mia mwilini mwake. Sasa ataavaje suti kwa mfano?

Au mnataka mkuu wa nchi azurure na Eisii mgongoni, ukinzingatia kwamba sasa ni zama na zamu ya invincible Kinzhal?
Tunaambiwa na nani??
 
Pana jamaa nilimwambia ile Tshirt ina uwezo wa kuzuia risasi alikuja kuamini baadae sana...nadhani na wewe hujui kuwa zile Tshirt za kawaida ila zina uwezo wa kuzuia risasi...
Mmmmh, ntafuatilia
 
Amin amin nawaambieni, msipoweza kuvua nguo na kuzikanyaga na kutembea bila aibu kama watoto wadogo...Hamtaurithi ufalme wa mbingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…