Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

Ninachojua hilo ndilo lililokuwa lengo la Urusi tangu alipotangaza kuyatambua majimbo hayo mawili na kufanya opereshen ya demilitarization ilikuwa ni kumdhohofisha Ukraine ili asipate nguvu ya kwenda kuyapambania/kuyaokoa majimbo yaliyotambuliwa na Urusi.
 
Mmmmmmmmmmm uongo
 
Sasa unatakiwa ulete ukweli ulionao sio kusema tu uongo la sivyo utaonekana una shida ya maarifa sahii.
Putin Lengo lilikuwa kuondoa Serikali Ya Zelensnkyy na kuteka Kyiv na Ukraine kisha aweke utawala wake .Imeshindikana

Pili allitaka ku demilitarize Ukraine imeshindikana NATO wana mu militize Ukraine kwa kiwango cha kutisha na vifaa vyao wanamtandika mrusi hadi anakimbia
Objective yake ya ku demilitarize Ukraine imekwama sababu ya Ukraine inakuwa militarized na NATO .

Anakimbia kimbia kijanja kumtoa Zelensnkyy kashindwa ku demilitarize kashindwa Ukraine wanakuwa armed day and night kwa powerful war machines za kumzidi na anadundwa kila kona
 
Kumbe Urusi na uchumi wake kidogo anaweza kupigana na NAto nzima. Watu wanatoa misaada mpaka wanaishiwa wao silaha lkn bado wanakula kipigo tu.

The Undisputed Putin [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] mnyama Putin anawavuruga mbaya kabisa mkuu.
Screenshot_20220326-090540.jpg
 
Putin Lengo lilikuwa kuondoa Serikali Ya Zelensnkyy na kuteka Kyiv na Ukraine kisha aweke utawala wake .Imeshindikana

Pili allitaka ku demilitarize Ukraine imeshindikana NATO wana mu militize Ukraine kwa kiwango cha kutisha na vifaa vyao wanamtandika mrusi hadi anakimbia
Objective yake ya ku demilitarize Ukraine imekwama sababu ya Ukraine inakuwa militarized na NATO .

Anakimbia kimbia kijanja kumtoa Zelensnkyy kashindwa ku demilitarize kashindwa Ukraine wanakuwa armed day and night kwa powerful war machines za kumzidi na anadundwa kila kona
Tunajiunga na NATO kwa mbwembwe zote, na huko Donabas tutamtilia team pia
 
Raisi Daudi Zelensnkyy pigana mtoto wa kiume wa kiyahudi dhidi ya Goliathi Putin na majeshi yake

Baba yetu Abramu alipigana kiume dhidi ya wafalme akiwa hana cheo chochote alikuwa mfugaji tu lakini alipiga majeshi ya wafalme na kuwashinda sembuse wewe Raisi Zelensnkyy Amiri Jeshi wa majeshi wa majeshi ya Ukraine

Uwe hodari na moyo wa ushujaa soma hapa pakutie Nguvu baba yetu alichukuwa watu hata wasiojua vita akawapa alisha kama wewe umefanya na vita akashinda.Goliath Putin lazima ashindwe kakamaa mtoto wa kiume wa kiyahudi.

Mwanzo 14:1-24​

Ikawa siku za Amrafeli mfalme wa Shinari, na Arioko mfalme wa Elasari, na Kedorlaoma mfalme wa Elamu na Tidali mfalme wa Goimu,
2 walifanya vita na Bera mfalme wa Sodoma na Birsha mfalme wa Gomora, na Shinabu mfalme wa Adma, na Shemeberi mfalme wa Seboimu, na mfalme wa Bela, ndio Soari.
3 Hawa wote wakakutana panapo bonde la Sidimu, kwenye Bahari ya Chumvi.
4 Miaka kumi na miwili walimtumikia Kedorlaoma, hata mwaka wa kumi na tatu wakaasi.
5 Na mwaka wa kumi na nne akaja Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye, wakawapiga Warefai katika Ashteroth-karnaimu, na Wazuzi katika Hamu, na Waemi katika Shawe-kiryathaimu,
6 na Wahori katika mlima wao Seiri, mpaka Elparani iliyo karibu na jangwa.
7 Kisha wakarudi wakaja mpaka Enmisfati, ndio Kadeshi, wakapiga nchi yote ya Waamaleki, na Waamori waliokaa Hasason-tamari.
8 Mfalme wa Sodoma, na mfalme wa Gomora, na mfalme wa Adma, na mfalme wa Seboimu, na mfalme wa Bela, ndio Soari, wakatoka wakapanga vita panapo bonde la Sidimu;
9 wapigane na Kedorlaoma mfalme wa Elamu, na Tidali mfalme wa Goimu, na Amrafeli mfalme wa Shinari, na Arioko mfalme wa Elasari, wafalme wanne juu ya wale watano.
10 Na bonde la Sidimu lilikuwa limejaa mashimo ya lami. Nao wafalme wa Sodoma na Gomora wakakimbia, wakaanguka huko, nao waliosalia wakakimbia milimani.
11 Wakachukua mali zote za Sodoma na Gomora na vyakula vyao vyote, wakaenda zao.
12 Wakamtwaa Lutu, mwana wa nduguye Abramu, aliyekaa huko Sodoma, na mali yake, wakaenda zao.
13 Mtu mmoja aliyeponyoka akaenda, akampasha habari Abramu Mwebrania; naye amekaa panapo mialoni ya Mamre, yule Mwamori, ndugu ya Eshkoli, na ndugu ya Aneri, na hao walikuwa wamepatana na Abramu.
14 Abramu aliposikia ya kwamba nduguye ametekwa mateka, akawapa silaha vijana wake, waliozaliwa katika nyumba yake, watu mia tatu na kumi na wanane, akawafuata mpaka Dani.
15 Akajipanga apigane nao usiku, yeye na watumwa wake, akawapiga, akawafukuza mpaka Hoba, ulioko upande wa kushoto wa Dameski.
16 Naye akarudisha mali zote, akamrudisha na Lutu nduguye na mali zake, na wanawake pia, na watu.
17 Abramu aliporudi kutoka kumpiga Kedorlaoma na wale wafalme waliokuwa pamoja naye, mfalme wa Sodoma akatoka amlaki katika bonde la Shawe, nalo ni Bonde la Mfalme.
18 Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye juu sana.
19 Akambariki, akasema, Abramu na abarikiwe na Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi.
20 Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.
21 Mfalme wa Sodoma akamwambia Abramu, Nipe mimi hao watu, na hizo mali uchukue wewe.
22 Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa Bwana, Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi,
23 ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu;
24 isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.
 
Acha kumfananisha Daudi na kibaraka wa NATO, haya maandiko mbona mnapenda kuyanajisi nyie watu
 
Putin Lengo lilikuwa kuondoa Serikali Ya Zelensnkyy na kuteka Kyiv na Ukraine kisha aweke utawala wake .Imeshindikana

Pili allitaka ku demilitarize Ukraine imeshindikana NATO wana mu militize Ukraine kwa kiwango cha kutisha na vifaa vyao wanamtandika mrusi hadi anakimbia
Objective yake ya ku demilitarize Ukraine imekwama sababu ya Ukraine inakuwa militarized na NATO .

Anakimbia kimbia kijanja kumtoa Zelensnkyy kashindwa ku demilitarize kashindwa Ukraine wanakuwa armed day and night kwa powerful war machines za kumzidi na anadundwa kila kona
Kati ya mambo sita wanayotakiwa kukubaliana na Ukraine, haya yako yapo? Awamu ya kwanza imeisha, tusubiri tuambiwe awamu ya pili ni kufanya nini?

Nilijua wewe ni moja ya watu wenye uwezo mzuri kiuchambuzi lakini kwenye hii operation nakuweka kwenye kundi la wenye mihemko
 
Ukraine kakata supply route ya russia and russia kaona analoose wanajeshi tu kuingia Kiev so kestuka kuwa ni waste of time bora akajichimie kona ili aonekane kashida dhamira yake ila kiev imemtoa jasho so kaona no need ndio hali ishakuwa tete baada ya putin now ni putout
 
Kati ya mambo sita wanayotakiwa kukubaliana na Ukraine, haya yako yapo? Awamu ya kwanza imeisha, tusubiri tuambiwe awamu ya pili ni kufanya nini?

Nilijua wewe ni moja ya watu wenye uwezo mzuri kiuchambuzi lakini kwenye hii operation nakuweka kwenye kundi la wenye mihemko
Goliati Putin hana uwezo wa kupigana na myahudi Daudi Zelensnkyy nguvu hiyo hana

Kachokoza raisi myahudi Zelensnkyy hiyo vita haiwezi wayahudi hawapigiki kirahisi imekula kwake
 
Mmmmmmmmmmm uongo
Mariupol ndo ulikua mji strategic kwa donbass akishaubeba huo anaweza akahamia odessa .............mashambulizi ya huko kwingine ilikua tu ku divert attention asipate kazi nzito sana kuyamega hayo majimbo.......anachofanya ni kama kwa crimea......lengo la mrusi ni kuizunguka ukraine na kuifanya isipate access yeyote na blacksea(iwe landlocked ) akishamega hivyo vipande maisha yataendelea kama kawaida
Screenshot_20220326-214607_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220326-215151_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220326-221816_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom