Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

Ninachojua hilo ndilo lililokuwa lengo la Urusi tangu alipotangaza kuyatambua majimbo hayo mawili na kufanya opereshen ya demilitarization ilikuwa ni kumdhohofisha Ukraine ili asipate nguvu ya kwenda kuyapambania/kuyaokoa majimbo yaliyotambuliwa na Urusi.
Alikua anataka kwenda mpaka Kiev ila kipigo ndio kimesababisha abadili gia angani.
Nia ilikua kumtoa Zelensky
 
Ukraine kakata supply route ya russia and russia kaona analoose wanajeshi tu kuingia Kiev so kestuka kuwa ni waste of time bora akajichimie kona ili aonekane kashida dhamira yake ila kiev imemtoa jasho so kaona no need ndio hali ishakuwa tete baada ya putin now ni putout
Exactly! Kipigo kimemchanganya. Ile ndoto ya kuteka Kyiv ndani ya masaa 72 imeyeyuka
 
Ukraine kakata supply route ya russia and russia kaona analoose wanajeshi tu kuingia Kiev so kestuka kuwa ni waste of time bora akajichimie kona ili aonekane kashida dhamira yake ila kiev imemtoa jasho so kaona no need ndio hali ishakuwa tete baada ya putin now ni putout
[emoji1][emoji1] UKRAINE iko inashinda Vita aisee.
Screenshot_20220324-160515.jpg
 
Mariupol ndo ulikua mji strategic kwa donbass akishaubeba huo anaweza akahamia odessa .............mashambulizi ya huko kwingine ilikua tu ku divert attention asipate kazi nzito sana kuyamega hayo majimbo.......anachofanya ni kama kwa crimea......lengo la mrusi ni kuizunguka ukraine na kuifanya isipate access yeyote na blacksea(iwe landlocked ) akishamega hivyo vipande maisha yataendelea kama kawaidaView attachment 2165482View attachment 2165483View attachment 2165484
Ila Urusi anawachanganya Sana wazungu,Jana alisema anahamishia Operation yake Donbass jamaa wakadhani Ni kweli,alichokifanya akaenda kushambulia mji mwingine uitwao Lviv
ambao uko mpk mpakani na Poland ambako ilikua Ni Km 100 toka Biden alipokuwepo [emoji1][emoji1][emoji1]. Nadhani Putin alikua anamtumia salamu Biden Kwamba uwepo wako hapa karibu na boarder hakuna anaejali.

Wazungu wanalia Lia tu eti Mrusi akisema anaenda kupiga sehemu flani jua Ni muongo tu ataenda kupiga sehemu nyingine kabisaaaa.
 
Sasa unatakiwa ulete ukweli ulionao sio kusema tu uongo la sivyo utaonekana una shida ya maarifa sahii.
Mbona alisema anataka Serikali ya Zelewinsky ijiuzulu na iwe neutral , leo kabadili gear?
 
The end will justify the means...... Hakuna nachokiona hapa zaidi ya propaganda za kivita kutoka magaribi.....
 
Na Russia alisema yeyote atakaesaidia Ukraine atakiona cha mtema kuni haya poland na NATO wanamsaidia Ukraine mbona Russia kaufyata
 
Back
Top Bottom