Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Alikua anataka kwenda mpaka Kiev ila kipigo ndio kimesababisha abadili gia angani.Ninachojua hilo ndilo lililokuwa lengo la Urusi tangu alipotangaza kuyatambua majimbo hayo mawili na kufanya opereshen ya demilitarization ilikuwa ni kumdhohofisha Ukraine ili asipate nguvu ya kwenda kuyapambania/kuyaokoa majimbo yaliyotambuliwa na Urusi.
Nia ilikua kumtoa Zelensky