Zelenskyy amekataa wito wa kumaliza vita

Zelenskyy amekataa wito wa kumaliza vita

Kibao kimegeuka, Ukraine sasa wanapiga mpaka Moscow, Putin anajua hawezi shinda hii vita bora wayamalize tuu
Unajielewa kweli kijana?? Yani Ukraine kushambulia oil refinery kwa vidrone viwili vitatu ndio useme Russia vita imemgeukia??
Aya tuambie Ukraine imefanikiwa kurejesha maeneo yaliyotekwa!?
 
Unajielewa kweli kijana?? Yani Ukraine kushambulia oil refinery kwa vidrone viwili vitatu ndio useme Russia vita imemgeukia??
Aya tuambie Ukraine imefanikiwa kurejesha maeneo yaliyotekwa!?
Mlisema week moja Ukraine yote inakuwa chini ya mrusi, mwaka wa nne sasa hata robo bado, na maeneo mliyochukua mwanzo mmeanza kuyapoteza tena 😁😂
 
Hiyo gharama italipwa na migodi iliyobebwa mikoa ya Donetsk. Aya Ukraine italipaje gharama ya ukarabati wa mahame?
Na vipi kuhusu 25% ya ardhi iliyobebwa??
Bado mtanange haujaisha. Subiri mwsho
 
Mlisema week moja Ukraine yote inakuwa chini ya mrusi, mwaka wa nne sasa hata robo bado, na maeneo mliyochukua mwanzo mmeanza kuyapoteza tena 😁😂
Usitake kudanganya watu huongei na watoto wenzako hapa. Hakuna eneo ambalo Ukraine karejesha hadi sasa hata kipande cha mita moja. Zaidi anazidi kupoteza zaidi.
Taja eneo ambalo Ukraine amelikomboa!???
Kama Ukraine ina ubavu basi ipambane kurejesha maeneo sio kulipua miundombinu ya mafuta..
Urusi anatumia tu ustaarabu kwa ndugu zake unadhani anashindwa kufanya kama Israel anavyofanya Gaza!??
 
Ukraine haina jeshi sasa hivi hadi wanakamata vijana barabarani wawaingize jeshini. Zelensky akubali tu kushindwa nchi imeshateketea ile.
Sio kweli. Vita vya kisasa havitegemei uwingi wa askari bali uhodari, uzalendo na ujuzi wa kutumia silaha za kisasa. Ukamataji wa vijana ili waingie jeshini unafanyika kwa utaratibu maalum. Hata Mrusi nae anafanya hivyo ila Mrusi akili kisoda anakamata walevi, wavuta bangi na anatoa wafungwa wengine magerezani wa mkataba wa kuachiliwa huru muda wa makubaliano ukiisha halafu mbaya zaidi anawalaghai hata vijana wengine kutoka nje ya nchi eti kuna nafasi za kazi na masomo(Vyuo) vya elimu ya juu bure.
 
Ukraine haina jeshi sasa hivi hadi wanakamata vijana barabarani wawaingize jeshini. Zelensky akubali tu kushindwa nchi imeshateketea ile.
Kule kwaputin wakenya wanalazimishwa kuingia Frontline unadhani vita mchezo urusi amekodi hadi wakorea wakiduku lakini hali tete bado
 
Back
Top Bottom