Sio kweli. Vita vya kisasa havitegemei uwingi wa askari bali uhodari, uzalendo na ujuzi wa kutumia silaha za kisasa. Ukamataji wa vijana ili waingie jeshini unafanyika kwa utaratibu maalum. Hata Mrusi nae anafanya hivyo ila Mrusi akili kisoda anakamata walevi, wavuta bangi na anatoa wafungwa wengine magerezani wa mkataba wa kuachiliwa huru muda wa makubaliano ukiisha halafu mbaya zaidi anawalaghai hata vijana wengine kutoka nje ya nchi eti kuna nafasi za kazi na masomo(Vyuo) vya elimu ya juu bure