Je na urusiIla deni la Taifa kugharamia hii vita watailipa kwa muda mrefu sana
Panatosha, wamalize huu mzozo.
Pia nae ameathirika na itamchukua muda kuimarika ila Ukraine aisee kuendesha hii vita resouces nyingi ni kutoka nje na atazilipa wakati Russia anapokea ila sio kwa ratio ya Ukraine na still kapata maeneo muhimu ya Ukraine.Je na urusi
Umeshaijua gharama Mrusi anayoingia ili kusababisha hayo Mahame huko Ukraine.Ungeona Ukraine ilivyo na mahame usingeropoka hivi.
Yaani unapigana na mtu alafu baada ya kuona unampelekea moto anakuita getoni kwake mkazungumze !!Wewe ungekubali?
Haingii akiliniYaani u
Yaani unapigana na mtu alafu baada ya kuona unampelekea moto anakuita getoni kwake mkazungumze !!
Hiyo gharama italipwa na migodi iliyobebwa mikoa ya Donetsk. Aya Ukraine italipaje gharama ya ukarabati wa mahame?Umeshaijua gharama Mrusi anayoingia ili kusababisha hayo Mahame huko Ukraine.
Unajielewa kweli kijana?? Yani Ukraine kushambulia oil refinery kwa vidrone viwili vitatu ndio useme Russia vita imemgeukia??Kibao kimegeuka, Ukraine sasa wanapiga mpaka Moscow, Putin anajua hawezi shinda hii vita bora wayamalize tuu
Mlisema week moja Ukraine yote inakuwa chini ya mrusi, mwaka wa nne sasa hata robo bado, na maeneo mliyochukua mwanzo mmeanza kuyapoteza tena ππUnajielewa kweli kijana?? Yani Ukraine kushambulia oil refinery kwa vidrone viwili vitatu ndio useme Russia vita imemgeukia??
Aya tuambie Ukraine imefanikiwa kurejesha maeneo yaliyotekwa!?
Bado mtanange haujaisha. Subiri mwshoHiyo gharama italipwa na migodi iliyobebwa mikoa ya Donetsk. Aya Ukraine italipaje gharama ya ukarabati wa mahame?
Na vipi kuhusu 25% ya ardhi iliyobebwa??
Usitake kudanganya watu huongei na watoto wenzako hapa. Hakuna eneo ambalo Ukraine karejesha hadi sasa hata kipande cha mita moja. Zaidi anazidi kupoteza zaidi.Mlisema week moja Ukraine yote inakuwa chini ya mrusi, mwaka wa nne sasa hata robo bado, na maeneo mliyochukua mwanzo mmeanza kuyapoteza tena ππ
Ukraine haina jeshi sasa hivi hadi wanakamata vijana barabarani wawaingize jeshini. Zelensky akubali tu kushindwa nchi imeshateketea ile.Bado mtanange haujaisha. Subiri mwsho
Sio kweli. Vita vya kisasa havitegemei uwingi wa askari bali uhodari, uzalendo na ujuzi wa kutumia silaha za kisasa. Ukamataji wa vijana ili waingie jeshini unafanyika kwa utaratibu maalum. Hata Mrusi nae anafanya hivyo ila Mrusi akili kisoda anakamata walevi, wavuta bangi na anatoa wafungwa wengine magerezani wa mkataba wa kuachiliwa huru muda wa makubaliano ukiisha halafu mbaya zaidi anawalaghai hata vijana wengine kutoka nje ya nchi eti kuna nafasi za kazi na masomo(Vyuo) vya elimu ya juu bure.Ukraine haina jeshi sasa hivi hadi wanakamata vijana barabarani wawaingize jeshini. Zelensky akubali tu kushindwa nchi imeshateketea ile.
Kule kwaputin wakenya wanalazimishwa kuingia Frontline unadhani vita mchezo urusi amekodi hadi wakorea wakiduku lakini hali tete badoUkraine haina jeshi sasa hivi hadi wanakamata vijana barabarani wawaingize jeshini. Zelensky akubali tu kushindwa nchi imeshateketea ile.
Muwe mnafasiri sawa sawa kutokana na usahihi wa mada.AMEKATAA OFFA
View attachment 3609741