Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mbona unaongea kanakwamba Ukraine ndiye aliyeivamia Russia?Russia π·πΊ katoa Offer huu mwaka uwe ndio mwisho wa Vita π
lkn ikiwa Ukraine itaona Vita viendelee basi tujiandae
Kusikia mazito miezi ijayo au mwanzoni wa mwaka mpya 2027
watajua faida ya Vita
kwasasa Russia yupo kama hayupo kwenye Vita lengo wamalize tofauti zao π
Level gani ameshindwa kukomboa majimbo yote yaliyotekwa tokea 2014. Wote hao na israel wanapumua sababu ya marekani ila binafsi hawana uwezo wowote wa ndani kupambana na mataifa mengine.Ukraine inaenda kuwa Israel ya maeneo yale.
Kwa level aliyofikia Ukraine hana haja ya kubembeleza mazungumzo na Putin
Sahihi kabisaKukutana Moscow haijakaa sawa,
Inatakiwa iwe Neutral ground.
Ndio kule angeenda vita ingeisha ila anakaza kile kifuuMuwe mnafasiri sawa sawa kutokana na usahihi wa mada.
Kukataa kukutana na Putin mjini Moscow ni 'kukataa kumaliza vita'?
Hivi unamjua Putin wewe, rafiki yake Yevgeny Prighoziny wa Wagner group yuko wapi na alifanywaje?Ndio kule angeenda vita ingeisha ila anakaza kile kifuu
Ndugu ni bora uongee ukiwa na elimu na hiko kitu. Urusi ana man power kubwa hajawahi kukamata vijana ili waingie jeshini. Mwaka jana Zelensky alilalamika kuishiwa man power na vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo hata CNN walionesha video jeshi la Ukraine likiwakamata vijana kimakusudi barabarani wakapigane vita.Sio kweli. Vita vya kisasa havitegemei uwingi wa askari bali uhodari, uzalendo na ujuzi wa kutumia silaha za kisasa. Ukamataji wa vijana ili waingie jeshini unafanyika kwa utaratibu maalum. Hata Mrusi nae anafanya hivyo ila Mrusi akili kisoda anakamata walevi, wavuta bangi na anatoa wafungwa wengine magerezani wa mkataba wa kuachiliwa huru muda wa makubaliano ukiisha halafu mbaya zaidi anawalaghai hata vijana wengine kutoka nje ya nchi eti kuna nafasi za kazi na masomo(Vyuo) vya elimu ya juu bure
Sawa.Ndugu ni bora uongee ukiwa na elimu na hiko kitu. Urusi ana man power kubwa hajawahi kukamata vijana ili waingie jeshini. Mwaka jana Zelensky alilalamika kuishiwa man power na vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo hata CNN walionesha video jeshi la Ukraine likiwakamata vijana kimakusudi barabarani wakapigane vita.
Hata uwe na teknolojia kiasi gani man power ni muhimu kwaajili ya kulinda territories. Kama man power sio muhimu kwanini Ukraine anapoteza maeneo!?? Embu nikuache nisijichoshe kujadiliana na wewe.
Interesting. Nakumbuka jinsi waswahili wengi hapa Afrika walipomdharau huyu "chizi" wakidai anataka kuleta usanii mbele ya mbabe Putin.AMEKATAA OFFA
View attachment 3609741
MmmmhπUkraine inaenda kuwa Israel ya maeneo yale.
Kwa level aliyofikia Ukraine hana haja ya kubembeleza mazungumzo na Putin