MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot.
Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya maangamizi na kuelekea Ukraine umbali km 1000 limetumia dakika 15 na wao wameshindwa kuliona katika rada.
Wameambiwa sasa wasubiri liwekwe kichwa cha maangamizi na watalifyatua popote pale military base ya yule aliyempa kombora zelesky na kupiga Russia mpaka sasa kimyaaaaaa hakuna cha long range missile iliyorushwa na Ukraine
Wanajiumauma hawaelewi na wameambiwa yapo samples tofauti. So wasiangaike kulichunguza