Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

USA ni mzee wa kuwadanganya wenzake Air defence system yao ni mbovu ndo kawagawia mashoga zake wanatumia kijilinda alafu tunaona Iran wakirusha missiles Israel zinapiga target sahiv ukraine nae rada hazioni hata kombora likipita
 
Ww akili yako ni timamu , Ukraine ni ndogo Sana kwa Rusia ulitegenea asisaidiwe ,mbona Rusia na nguvu zake zote anasaidiwa na north Korea china iran ,huoni kuwa ameshindwa Hadi kaomba msaada ,kwa Sasa Rusia hamuwezi zelensk
Na nikweli isingechukua wiki kuinyakua Ukraine kama wasingeingilia NATO(Nchi 32).Jimbo la crimea la ukraine lilinyakuliwa siku Moja tu na urusi kiurahisi kabisa.
 
Rusia imekuwa
USA ni mzee wa kuwadanganya wenzake Air defence system yao ni mbovu ndo kawagawia mashoga zake wanatumia kijilinda alafu tunaona Iran wakirusha missiles Israel zinapiga target sahiv ukraine nae rada hazioni hata kombora likipita
Rusia mwenye air defense nzuri ,anachezea kipigo Cha Ukraine storm Shadow Atacism zinapenya ,kule Iran si alipereke s 300 na S 400 zikatiwa kiberiti zote
Bado Ukraine ni mwamba
 
Kombora lile la ajabu lilipigwa ndani ya Ukraine,lakini NATO wamekua kikao kulijadili,je Ukraine ni mwanachama wa NATO?
Ingawa Putin hakutamka kwamba atataipiga Ukraine Kwa wiki moja lakini kilichopelekea vita kuchukua miaka miwili ni hao NATO kumsaidia Ukraine.
Hebu wewe mwenyewe fikiria nchi moja inapigana na nchi 59 je unaionaje nchi hiyo?

Soma hapo chini NATO wamekaa kikao kujadili kombora hilo ndio utajua ushiriki wao katika vita hii.

The powerful next-level, multiple-warhead battlefield weapon, which has been analyzed by the Pentagon, has prompted NATO to hold an emergency summit on Tuesday.
Kwahiyo ukraine mmoja ni sawa na nchi 59, kweli putin ameshikwa safari hii.
 
Rusia imekuwa

Rusia mwenye air defense nzuri ,anachezea kipigo Cha Ukraine storm Shadow Atacism zinapenya ,kule Iran si alipereke s 300 na S 400 zikatiwa kiberiti zote
Bado Ukraine ni mwamba
Rusia analilia tu ,anatushia nuke ,wakati Ukraine naye anayo nuke akiwasha naye anawashiwa ,Lile Zee ni jinga linaharibu uchumi wa nchi yake raia wanateseka alafu kusifia ujinga ,
 
Oreshnik ni message ya onyo kwa west na Ukraine. Baada ya Ukraine kupigwa na Oreshnik hakuna shaka kwamba Zelelensky amegundua kuwa hayuko salama popote alipo ndani ya Ukraine na anaweza kuikimbia Ukraine.

Pamoja na ruhusa waliyopewa Ukraine ya kutumia ATACM na storm shadow kwenye ardhi ya Russia lakini kuna uwezekano kwamba Ukraine haitarudia kuzitumia tena ndani ya Russia.
 
Hivi mashabiki wa Putin hamuoni aibu taifa lenye nguvu za kijeshi Russia kushindwa kuiteka Ukraine kwa miaka3??
Marekani ilitumia muda gani kuiteka Afghanistan na Iraq 🇮🇶?
 
Rusia analilia tu ,anatushia nuke ,wakati Ukraine naye anayo nuke akiwasha naye anawashiwa ,Lile Zee ni jinga linaharibu uchumi wa nchi yake raia wanateseka alafu kusifia ujinga ,
una uhakika UKRAINE ana silaha nyuklia au umeamua kufurahisha kijiwe
 
Rusia analilia tu ,anatushia nuke ,wakati Ukraine naye anayo nuke akiwasha naye anawashiwa ,Lile Zee ni jinga linaharibu uchumi wa nchi yake raia wanateseka alafu kusifia ujinga ,
Ukraine haina mabomu ya nyuklia. Iliyakabidhi kwa Russia kama sharti la kuwa nchi huru toka kwenye umoja ya Soviet. Hata angekuwa nayo bado angekosa delivery system kama ilivyo Oreshnik.
 
JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot.

Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya maangamizi na kuelekea Ukraine umbali km 1000 limetumia dakika 15 na wao wameshindwa kuliona katika rada.

Wameambiwa sasa wasubiri liwekwe kichwa cha maangamizi na watalifyatua popote pale military base ya yule aliyempa kombora zelesky na kupiga Russia mpaka sasa kimyaaaaaa hakuna cha long range missile iliyorushwa na Ukraine
Wanajiumauma hawaelewi na wameambiwa yapo samples tofauti. So wasiangaike kulichunguza
kwan na alianza kumshambulia mwenzie ? Ukraine anaipigia Urusi au anawatoa wanajeshi wa Urusi nchini mwake?
 
Niliacha kufuatilia hii vita baada ya bibisi kusema Russia imemaliza siraha na Sasa wanatumia chepe(koleo) kupigana na wanajeshi wa Ukraine. Nikaona hii vita kumbe imekaa kishabiki sana
tuletee hiyo sehem BBC waliposema Russia imemaliza silaha , nataka nkuoneshe ulivyo mpuuz usiejuwa kusoma habari , yaan BBC wanatoa Nukuu aliyosema mtu fulan , kwa ujinga wako unasema BBC ndo wamesema , elimu ya ccmu imewafanya watu weusi kuwa wajinga zaid
 
Kwahiyo ukraine mmoja ni sawa na nchi 59, kweli putin ameshikwa safari hii.
Kiufup Ukraine kafanikiwa maana baada ya vita hii Urusi atachukua miaka ming sn kurudi kweny game , achana na stori za vijiweni , kwasasa Urusi ni kakoloni ka China na China hatoruhusu kuwa na taifa kuwa kijeshi sw na yeye , na ndio maana China anamfadhiri Urusi ili adhoofike mapema
 
Back
Top Bottom