Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot.

Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya maangamizi na kuelekea Ukraine umbali km 1000 limetumia dakika 15 na wao wameshindwa kuliona katika rada.

Wameambiwa sasa wasubiri liwekwe kichwa cha maangamizi na watalifyatua popote pale military base ya yule aliyempa kombora zelesky na kupiga Russia mpaka sasa kimyaaaaaa hakuna cha long range missile iliyorushwa na Ukraine
Wanajiumauma hawaelewi na wameambiwa yapo samples tofauti. So wasiangaike kulichunguza
Weka video bloangu acha maneno mob
 
Katafute kwenye vyombo vya habari vya kueleweka sio unasubiri taarifa za facebook
Hakuna kitu kama hicho alichosema Putin mambo ya masaa kama Israel+USA+Germany+all European countries wanaishambulia gaza eneo dogo mwaka umepita na hawajafikia malengo kupata mateka ndio itakua puttin aseme siku kwa Ukraine Kuna vitu kutumia tu akili
 
Vita ikiwa inaanza putin alisema hatomaliza wiki atachukua ukraine yote sasa mwaka wa 3 huu
Kombora lile la ajabu lilipigwa ndani ya Ukraine,lakini NATO wamekua kikao kulijadili,je Ukraine ni mwanachama wa NATO?
Ingawa Putin hakutamka kwamba atataipiga Ukraine Kwa wiki moja lakini kilichopelekea vita kuchukua miaka miwili ni hao NATO kumsaidia Ukraine.
Hebu wewe mwenyewe fikiria nchi moja inapigana na nchi 59 je unaionaje nchi hiyo?

Soma hapo chini NATO wamekaa kikao kujadili kombora hilo ndio utajua ushiriki wao katika vita hii.

The powerful next-level, multiple-warhead battlefield weapon, which has been analyzed by the Pentagon, has prompted NATO to hold an emergency summit on Tuesday.
 
Mwaka wa 3 huu
 
Kombora lile la ajabu lilipigwa ndani ya Ukraine,lakini NATO wamekua kikao kulijadili,je Ukraine ni mwanachama wa NATO?
Ingawa Putin hakutamka kwamba atataipiga Ukraine Kwa wiki moja lakini kilichopelekea vita kuchukua miaka miwili ni hao NATO kumsaidia Ukraine.
Hebu wewe mwenyewe fikiria nchi moja inapigana na nchi 59 je unaionaje nchi hiyo?

Soma hapo chini NATO wamekaa kikao kujadili kombora hilo ndio utajua ushiriki wao katika vita hii.

The powerful next-level, multiple-warhead battlefield weapon, which has been analyzed by the Pentagon, has prompted NATO to hold an emergency summit on Tuesday.
Mwaka wa 3 huu
 
Hakuna kitu kama hicho alichosema Putin mambo ya masaa kama Israel+USA+Germany+all European countries wanaishambulia gaza eneo dogo mwaka umepita na hawajafikia malengo kupata mateka ndio itakua puttin aseme siku kwa Ukraine Kuna vitu kutumia tu akili
Kafatilie kwanza halafu urudi
 
Huyu PUT IN ana akili na ana zitumia vizuri.
Alijua wazi kwamba kwenye hili DISCO VUMBI haka KATOTO kanako nirudisha nyuma kametumwa na wakubwa zake.

Sasa ili niwaone sipigi kelele,ila ninawatangazia kuwa nitacheza masaa 24 tu ili na wao wafanye makadirio ya chini na kweli wakafanya hivyo kama PUT IN alivyotarajia.

Wakaenda mbali zaidi wakasema kaishiwa nguvu za kucheza ila ajabu sasa mwamba ana badili style tu mara rumba,mchiriku,R &B,dogori na sasa kawashangaza kwa kuingia kwa style ya RITUNGU.
 
JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot.

Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya maangamizi na kuelekea Ukraine umbali km 1000 limetumia dakika 15 na wao wameshindwa kuliona katika rada.

Wameambiwa sasa wasubiri liwekwe kichwa cha maangamizi na watalifyatua popote pale military base ya yule aliyempa kombora zelesky na kupiga Russia mpaka sasa kimyaaaaaa hakuna cha long range missile iliyorushwa na Ukraine
Wanajiumauma hawaelewi na wameambiwa yapo samples tofauti. So wasiangaike kulichunguza
Kwa hiyo, wewe unadhani kivita na kwa kuwa na silaha nzito Russia inawazidi Marekani au ni mimi sijaelewa?
 
Putin ameamua kuidhohofisha ukraine na ulaya kiuchumi nchi nyingi za ulaya zinayumba kiuchumi kutokana na hiyo vita akiamua kuimaliza ukraine kwa mabomu hata wewe hutorudi kuandika tena hapa!
Lakini si ndivyo Puttin alikuwa amesema? Wakati huo tulikuwa tunaambiwa bado kilomita 40 vifaru viingie Jiji la Ukraine? Sasa sijui zimeshabakia kilomita ngapi.
 
Angekuwa anapigana na Ukraine pekeake nakuhakikishia Zelensky asingetoboa hata wiki... Sasa tokea mwanzo wa vita anadundana na mataifa zaid ya 25 ya NATO na Ukraine imetumika km uwanja wa vita.

Mamluki wengi wa mwanzo waliopandikizwa na nato waliuawa na Wagner na wale ndo walikuwa na ujuzi na vita kuliko waliobaki sasa maana walifungiwa kwny military base za pentagon toka mwaka 2014 wakijifua kupambana na Urusi. Wale ndo kidogo waliweza hata kumtikisa urusi kwakuwa hakuwa akifahamu km kuna mamluki wameletwa. (Source: Wagner war report at 2022)
Tangu anaanza vita tayari alijua kuna mikono ya watu nyuma yake na ndio ilikuwa lengo kuwazuia wasilete utawala wao ukraine
 
Back
Top Bottom