Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000


Wameufyata kimyaaaa.. sasa hivi wanajadili oreshnk cheki vyombo vyote vya habari vya west hakuna wanachoongea ila hiyo silaha mpya ya Russia.

Russia is super power by now. Ina silaha ambazo hakuna duniani.. west wajichanganye tena waone
 
Vita ikiwa inaanza putin alisema hatomaliza wiki atachukua ukraine yote sasa mwaka wa 3 huu
Naomba hiyo link na mimi nikajisomee. As far as I know; hakuna chombo chochote cha Russia kilicho wahi kutamka kwamba vita vitachukua muda gani; as far as I remember it was USA na CIA ndio waliotamka hayo maneno few days kabla vita haijaanza; sasa naomba nami nikajiridhishe ili nibadiri mtazamo
 
Yes ni assessment za CIA hizo ndio Putin aliwaambia wanajeshi wake huwezi kupata hadharani mkuu
 
we umeenda shule kwel yan US,EUROPE NA ISRAEL washindwe vita na HAMAS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…