Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mchumba tu huyo. Ana ubabe gani? 😂Hili toto kichaa kweli...putin hana lolote? Kaa kimya tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchumba tu huyo. Ana ubabe gani? 😂Hili toto kichaa kweli...putin hana lolote? Kaa kimya tu..
JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot.
Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya maangamizi na kuelekea Ukraine umbali km 1000 limetumia dakika 15 na wao wameshindwa kuliona katika rada.
Wameambiwa sasa wasubiri liwekwe kichwa cha maangamizi na watalifyatua popote pale military base ya yule aliyempa kombora zelesky na kupiga Russia mpaka sasa kimyaaaaaa hakuna cha long range missile iliyorushwa na Ukraine
Wanajiumauma hawaelewi na wameambiwa yapo samples tofauti. So wasiangaike kulichunguza
Ajaribu aone moto. Anafikiri silaha anazompa Ukraine ndo hizo hzo atakazompiga nazo?Oya, Putin kasema atapiga base za waliompa silaha?!
Hoja ni kwamba Marekani haijawahi kuiteka Afghanstan wala Iraq. Hayo mengine ni maneno yako mwenyewe.Kojoa kalale kumbe wa bado mtoto
Naomba hiyo link na mimi nikajisomee. As far as I know; hakuna chombo chochote cha Russia kilicho wahi kutamka kwamba vita vitachukua muda gani; as far as I remember it was USA na CIA ndio waliotamka hayo maneno few days kabla vita haijaanza; sasa naomba nami nikajiridhishe ili nibadiri mtazamoVita ikiwa inaanza putin alisema hatomaliza wiki atachukua ukraine yote sasa mwaka wa 3 huu
Yes ni assessment za CIA hizo ndio Putin aliwaambia wanajeshi wake huwezi kupata hadharani mkuuNaomba hiyo link na mimi nikajisomee. As far as I know; hakuna chombo chochote cha Russia kilicho wahi kutamka kwamba vita vitachukua muda gani; as far as I remember it was USA na CIA ndio waliotamka hayo maneno few days kabla vita haijaanza; sasa naomba nami nikajiridhishe ili nibadiri mtazamo
We mtoto wa 2000 huwezi kujua haya mambo ukikua utayatambuaHoja ni kwamba Marekani haijawahi kuiteka Afghanstan wala Iraq. Hayo mengine ni maneno yako mwenyewe.
Acha propaganda leta ushahidi akiongeaVita ikiwa inaanza putin alisema hatomaliza wiki atachukua ukraine yote sasa mwaka wa 3 huu
Nenda bbc utaonaAcha propaganda leta ushahidi akiongea
Du; kazi kweli kweli wallahHoja ni kwamba Marekani haijawahi kuiteka Afghanstan wala Iraq. Hayo mengine ni maneno yako mwenyewe.
we umeenda shule kwel yan US,EUROPE NA ISRAEL washindwe vita na HAMASHakuna kitu kama hicho alichosema Putin mambo ya masaa kama Israel+USA+Germany+all European countries wanaishambulia gaza eneo dogo mwaka umepita na hawajafikia malengo kupata mateka ndio itakua puttin aseme siku kwa Ukraine Kuna vitu kutumia tu akili
HUMU WAVUTA BANGI NI WENG MKUU JAMAA ANAONGEA MAVI KABISATafuta kazi yakufanya mkuu